Kuelekea hatua ya robo fainali michuano ya uefa, kutoka nchini Spain imebaki timu moja tuu, Je inatoa ishara gani?

Alvajumaa

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
4,937
6,044
Leo hii usiku majira ya saa 5 kamili usiku michuano ya vilabu bingwa barani ulaya itakua inaendelea
Zamani ilizoeleka katika hatua ya robo fainali zilikuwepo timu 2 au mbili, lakini hadi sasa imebaki timu moja tuu Barcelona,
Barcelona ataikaribisha timu ya Olympic Lyon kutoka nchini ufaransa, katika mechi ya kwanza katika hatua hii ya 16 bora timu hizo zilitoka sare (suluhu),

Vyovyote iwavyo Barcelona leo anapaswa kushinda ili kulinda heshima yake na taswira ya soka la Spain, kama atapata sare ya magoli basi hiyo itakua safari imemkuta na robo kutakua hakuna timu kutoka la liga

Je, hii ni ishara ya kushuka soka la liga? Au tatizo ni nini hasa? Tujadiliane hapa
Karibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ndo mwanzo wa mwisho wa utawala wa hizi klabu toka spain katika soka la ulaya, nao hawana muda mrefu lazima wataanza kupitia transition period kama ilivyo kawaida kwenye mpira.
 
Mashabiki wa Timu za EPL, wanaombea mabaya timu za Spain wanajua zikiendelea kuwepo kombe mtaishia kuliona likienda nchi zingine
Leo hii usiku majira ya saa 5 kamili usiku michuano ya vilabu bingwa barani ulaya itakua inaendelea
Zamani ilizoeleka katika hatua ya robo fainali zilikuwepo timu 2 au mbili, lakini hadi sasa imebaki timu moja tuu Barcelona,
Barcelona ataikaribisha timu ya Olympic Lyon kutoka nchini ufaransa, katika mechi ya kwanza katika hatua hii ya 16 bora timu hizo zilitoka sare (suluhu),

Vyovyote iwavyo Barcelona leo anapaswa kushinda ili kulinda heshima yake na taswira ya soka la Spain, kama atapata sare ya magoli basi hiyo itakua safari imemkuta na robo kutakua hakuna timu kutoka la liga

Je, hii ni ishara ya kushuka soka la liga? Au tatizo ni nini hasa? Tujadiliane hapa
Karibu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom