changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 5,587
- 9,179
Kuna watu wanasema endapo Simba itapata alama tatu dhidi ya El marrekh, Simba itakuwa imefikiaha point kumi na kuwa imefuzu hatua ya robo fainali. Sijaelewa hesabu gani zimetumika kuifanya Simba ifuzu kwasababu mpaka sasa Al Ahly na As Vita wote wana point 4.
Mechi inayofuata As Vita wapo nyumbani dhidi ya Al Ahly na endapo As Vita wakishinda watakuwa wamefikisha point 7 huku Simba ikiwa na point 10.
Mechi inayofuata ni Al Ahly dhidi ya Simba. Hapa Simba wakiwa ugenini, hii mechi Simba wanatakiwa watafute alama moja ili kufuzu kwasababu Al Ahly ikishinda, wanakuwa na alama 7 na mechi ya mwisho wanamaliza dhidi ya kibonde Al Merreikh hivyo wakisha watakuwa na alama 10. Wakati Simba inacheza na Al Ahly, As Vita wao watakuwa nyumbani dhidi ya Al Merreikh hivyo akishinda atakuwa na point 10
Endapo Simba watashindwa kupata alama tatu ama moja Misri, na huku As Vita wakishinda dhidi ya Al Ahly na Al Merreikh, ina maana mechi ya mwisho inachezwa Simba dhidi ya As Vita kwa Mkapa huku As Vita akiwa na point 10, Simba ana point 10 na Al Ahly ana point 7 na kuifanya kundi liwe gumu kwasababu Al Ahly atacheza dhidi ya Al Merreikh hivyo akishinda atakuwa na point 10 pia. Hivyo itaifanya mechi ya mwisho iwe muhimu sana kwa Simba kutoruhusu kufungwa dhidi ya As Vita