Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 48,274
- 115,192
Hahahaaa. We Mtoto Weweeee. Jipe moyo tu
Hahahaaa. We Mtoto Weweeee. Jipe moyo tu
Si mbali kabisaaaa. Japo hamkawii kusema tumeloga.
Ila leo mtani mtaaibika na uarabu koko wenuHahahaaa. We Mtoto Weweeee. Jipe moyo tu
Sio rahisi. Ila tusubiri tuone isije kuwa kinyume chake tu
😂😂😂
Si mbali kabisaaaa. Japo hamkawii kusema tumeloga.
Eti wanaulizwa, mmejiandaaje kuwakabili Al Ahly? Wanajibu ooh, tumeweka mechi juani ili Mwarabu anyooke. Hivi hapa nipo nagugo nipate jibu ikiwa kanuni za FIFA zinaruhusu ambaye kagongwa 5 first leg anaruhusiwa kucheza na miamvuliSimba atapigwa hapo kwa mchina na atanyanyaswa sana.
Maana 5imba haiko sawa kisaikolojia had sasa.
Africa ni moja, tunawaombea kheri wageni wetu, inshaallah!Leo ndio leo jamaani. Wale Waarabu wenzangu tujumuikeni kwa pamoja kuwapa Support Waarabu wenzetu kwa Mchina. 😜😜
Nifah uko wapi Mwarabu Koko mwenzangu. 😀😀😀
Mkuu tupo vizuriFinishing ikikaa vizuri, tunawaweka