Kuelekea hatua Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC dhidi ya Al Ahly SC 'Hatushindwi'

Kuna dalili zote uwanja unaweza kujaa maana hadi sasa almost half ground covered
 
Ee Mungu Baba yetu wa mbinguni, ikiwezekana, kikombe hiki kituepuke; walakini si kama tutakavyo sisi, bali kama utakavyo wewe.

Amen.
 
Simba atapigwa hapo kwa mchina na atanyanyaswa sana.
Maana 5imba haiko sawa kisaikolojia had sasa.

Eti wanaulizwa, mmejiandaaje kuwakabili Al Ahly? Wanajibu ooh, tumeweka mechi juani ili Mwarabu anyooke. Hivi hapa nipo nagugo nipate jibu ikiwa kanuni za FIFA zinaruhusu ambaye kagongwa 5 first leg anaruhusiwa kucheza na miamvuli
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom