Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 48,323
- 115,323
Sanaaaaa. Nimekutag zaidi ya mara tatu. Nkajua umechimba bana. Nikajua tutakuona saa 12 kama mtashinda.
Sanaaaaa. Nimekutag zaidi ya mara tatu. Nkajua umechimba bana. Nikajua tutakuona saa 12 kama mtashinda.
hapa ndio had game iisheSanaaaaa. Nimekutag zaidi ya mara tatu. Nkajua umechimba bana. Nikajua tutakuona saa 12 kama mtashinda.
Hahahaaa. Si kwa kunichoka huku Swahiba.daaah ilibaki kidogo uwe doctor Manyau nyau
Maana sio kwa kuwanga huku mpaka mchana kweupe
Shadeeya
Sent using Jamii Forums mobile app
Umepata. Nakuletea na ndizi mbivu ili usiishiwe nguvu za kucheck game
Ewaaaa. Haya uwepo sasa mpaka mwisho.
Saaaafi sana. 🙏🙏🙏
....because you can't!I don't even want to know you
jumamosi sio mbaliHahahaaa. Si kwa kunichoka huku Swahiba.
Lazima tuwawangie tu mpaka tone la mwisho.
daah!kumbe watu ni wahenga.FlashBack Klabu Bingwa Afrika 1984/1985; Simba SC waliwachapa National Al Ahly mabao 2-1 kwenye uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza ukiwa ni mchezo wa kwanza.
Magoli ya Simba yaliwekwa kimiani na Streika Matata Zamoyoni Mogella 'Golden Boy' akipokea pasi safi kutoka kwa Malota Soma Ball Juggler na bao la pili lilifungwa na Mtemi Ramadhan akipokea pasi safi ya Zamoyoni Mogella
Kila la heri Mnyama Mkali..Ushindi ndo lengo letu
Sent using Jamii Forums mobile app
Najua. Ila usije leo kawaida ukaiacha.
Wachaaaaa. Najikuta nafurahi tu leo.
Na hii ndio maana halisi ha Utani wa jadi aiseee.
Hahahaaaa. Dkk 90 zikiisha tutaongea lugha moja.
😂😂😂😂
Ya ushindi wa SimbaHahahaaaa. Dkk 90 zikiisha tutaongea lugha moja.
Ina akili sana simu yako. 😀Sasa hapa usage time imebaki 2:34
Saafi