SIMBA ya wakati huo ilikuwa WACHEZAJI MAUMBO MAKUBWA,,,huyo MALOTA SOMA paja lake hadi linataka KUCHANA bukta,,,hawa WACHEZAJI wetu wa sasa wanakuwa kama under 17 AGED kumbe VIJEBA,,sijuwi kwann wamekuwa na MAUMBO MADOGO SN,, hawa JAMAA HATUWAWEZI,,,mpaka tubadilishe mfumo wa UCHEZAJI WETU...WACHEZAJI NGUVU hawana,,,,ni kama TEMBO kupambana na SUNGURAFlashBack Klabu Bingwa Afrika 1984/1985; Simba SC waliwachapa National Al Ahly mabao 2-1 kwenye uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza ukiwa ni mchezo wa kwanza.
Magoli ya Simba yaliwekwa kimiani na Streika Matata Zamoyoni Mogella 'Golden Boy' akipokea pasi safi kutoka kwa Malota Soma Ball Juggler na bao la pili lilifungwa na Mtemi Ramadhan akipokea pasi safi ya Zamoyoni Mogella
Kila la heri Mnyama Mkali..Ushindi ndo lengo letu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtapigwa Ila mtapata goliKuelekea hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC ambao ni wawakilishi wa Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League) Jumanne ya Februari 12 watakuwa kwenye uwanja wa Taifa kupigana dhidi ya Al Ahly kutoka nchini Misri.
•••Mwana Kulitaka Mwana Kulipewa
Ni mechi kali ambayo kwa Simba SC itakuwa ni ya kulipa kisasi kwa wachenzaji, mashabiki na wanachama pamoja na wadau wa soka kufuatia matokeo ya kipigo cha mabao 5 katika mjini Alexandria nchini Misri.
•••Lakini Mnyama Mkali Simba SC Anasema;
"hatushindwi kwani tunaweza na tumejiandaa kuhakikisha kuwa alama 3 za nyumbani zinabaki hapa hapa nyumbani".
Yamesemwa mengi sana hapa Tanzania, kutoka kila pande hasa upande wa pili ambao wanawaogopa sana waarabu, lakini Simba SC itaishangaza dunia kwenye uwanja wa Taifa.
Kilichowakuta Zamalek ya Misri dhidi ya Gormahia ya Kenya kwenye Kombe la Shirikisho, ndicho kitawakuta Mafarao wa Al Ahly japo wengi hawaamini lakini ndo hali halisi ilivyo.
•••Haya twendeni WANALUNYASI Taifa hatushindwi
View attachment 1019785
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja mlegezwe bolt kesho Sisi tunaingiza tuYanga imekuja muda mzuri.
Tuseme we ni Azam?hivi ninyi wanazi wa hizi timu mbili za kichawi za mbumbumbu fc na vyura sc..... kwa nini msiwe mnasubiri matokeo ya uwanjani badala yake mnakalia kupiga tu ramli huku uwezo wenu ni mediocre?
yaani hadi inaudhi kwa kweli. timu zetu zote za Tanzania zimeshindwa kufurukuta vs second tiers za hapo Kenya kwenye Sportpesa tournament halafu eti mnatamba mtashinda vs the likes of Al Ahly? get a freaking life you people!
Kiganja kinahusika kula mkuuHii mechi kama Simba ikipoteza, itakuwa ndio mwisho wake wa safari ya kuelekea robo fainali. Kwasababu mechi na JS Saoura kuna kipigo kinginge cha 3+
Sent using Jamii Forums mobile app
Na tarehe 16 imekuja pazuri kweliSimba atapigwa hapo kwa mchina na atanyanyaswa sana.
Maana 5imba haiko sawa kisaikolojia had sasa.
Wanaweza pata la mganga wao
Simba hawajawahi kukutana na AL AHLY HAPO KABLA... GAME YAO YA KWANZA NI HII WALIYOFUNGWA 5..FlashBack Klabu Bingwa Afrika 1984/1985; Simba SC waliwachapa National Al Ahly mabao 2-1 kwenye uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza ukiwa ni mchezo wa kwanza.
Magoli ya Simba yaliwekwa kimiani na Streika Matata Zamoyoni Mogella 'Golden Boy' akipokea pasi safi kutoka kwa Malota Soma Ball Juggler na bao la pili lilifungwa na Mtemi Ramadhan akipokea pasi safi ya Zamoyoni Mogella
Kila la heri Mnyama Mkali..Ushindi ndo lengo letu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mkienda nao kucheza Jangwa la Kalahari kipigo kipo pale pale
Na Simba angekuwa keshapewa Ubingwa wa Klabu Bingwa Afrika na yupo anasubiri kucheza klabu bingwa ya Dunia. Teh teh.Ingekuwa mpira unachezwa mdomoni saa hizi Al Ahly angekuwa kashapigwa 3 kabla ya mechi.
Daaah.
Ewaaaa. Watupe raha tu kwa kweli. 😀😀
Taifa Stars, Liverpool & timu yoyote anayochezea Messi.Tuseme we ni Azam?
"KHAMSA" "TANO" (In MANARA Voice)Tatizo lenu simba nikwamba mkiambiwa ukweli mnamalizia machungu kuikosoa yanga.Mmesajili wachezaj wengi lakin bado mnapigwa 5
Sent using Jamii Forums mobile app