Kuelekea hatua Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC dhidi ya Al Ahly SC 'Hatushindwi'


mwandende

mwandende

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2017
Messages
2,230
Likes
2,643
Points
280
Age
39
mwandende

mwandende

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2017
2,230 2,643 280
FlashBack Klabu Bingwa Afrika 1984/1985; Simba SC waliwachapa National Al Ahly mabao 2-1 kwenye uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza ukiwa ni mchezo wa kwanza.

Magoli ya Simba yaliwekwa kimiani na Streika Matata Zamoyoni Mogella 'Golden Boy' akipokea pasi safi kutoka kwa Malota Soma Ball Juggler na bao la pili lilifungwa na Mtemi Ramadhan akipokea pasi safi ya Zamoyoni Mogella


Kila la heri Mnyama Mkali..Ushindi ndo lengo letu

Sent using Jamii Forums mobile app
SIMBA ya wakati huo ilikuwa WACHEZAJI MAUMBO MAKUBWA,,,huyo MALOTA SOMA paja lake hadi linataka KUCHANA bukta,,,hawa WACHEZAJI wetu wa sasa wanakuwa kama under 17 AGED kumbe VIJEBA,,sijuwi kwann wamekuwa na MAUMBO MADOGO SN,, hawa JAMAA HATUWAWEZI,,,mpaka tubadilishe mfumo wa UCHEZAJI WETU...WACHEZAJI NGUVU hawana,,,,ni kama TEMBO kupambana na SUNGURA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Messages
5,099
Likes
4,034
Points
280
Age
51
Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2018
5,099 4,034 280
Kuelekea hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC ambao ni wawakilishi wa Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League) Jumanne ya Februari 12 watakuwa kwenye uwanja wa Taifa kupigana dhidi ya Al Ahly kutoka nchini Misri.

•••Mwana Kulitaka Mwana Kulipewa

Ni mechi kali ambayo kwa Simba SC itakuwa ni ya kulipa kisasi kwa wachenzaji, mashabiki na wanachama pamoja na wadau wa soka kufuatia matokeo ya kipigo cha mabao 5 katika mjini Alexandria nchini Misri.

•••Lakini Mnyama Mkali Simba SC Anasema;

"hatushindwi kwani tunaweza na tumejiandaa kuhakikisha kuwa alama 3 za nyumbani zinabaki hapa hapa nyumbani".

Yamesemwa mengi sana hapa Tanzania, kutoka kila pande hasa upande wa pili ambao wanawaogopa sana waarabu, lakini Simba SC itaishangaza dunia kwenye uwanja wa Taifa.

Kilichowakuta Zamalek ya Misri dhidi ya Gormahia ya Kenya kwenye Kombe la Shirikisho, ndicho kitawakuta Mafarao wa Al Ahly japo wengi hawaamini lakini ndo hali halisi ilivyo.

•••Haya twendeni WANALUNYASI Taifa hatushindwi
View attachment 1019785

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtapigwa Ila mtapata goli
 
Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Messages
5,099
Likes
4,034
Points
280
Age
51
Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2018
5,099 4,034 280
hivi ninyi wanazi wa hizi timu mbili za kichawi za mbumbumbu fc na vyura sc..... kwa nini msiwe mnasubiri matokeo ya uwanjani badala yake mnakalia kupiga tu ramli huku uwezo wenu ni mediocre?

yaani hadi inaudhi kwa kweli. timu zetu zote za Tanzania zimeshindwa kufurukuta vs second tiers za hapo Kenya kwenye Sportpesa tournament halafu eti mnatamba mtashinda vs the likes of Al Ahly? get a freaking life you people!
Tuseme we ni Azam?
 
S A Ngolilo

S A Ngolilo

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2017
Messages
973
Likes
1,054
Points
180
S A Ngolilo

S A Ngolilo

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2017
973 1,054 180
FlashBack Klabu Bingwa Afrika 1984/1985; Simba SC waliwachapa National Al Ahly mabao 2-1 kwenye uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza ukiwa ni mchezo wa kwanza.

Magoli ya Simba yaliwekwa kimiani na Streika Matata Zamoyoni Mogella 'Golden Boy' akipokea pasi safi kutoka kwa Malota Soma Ball Juggler na bao la pili lilifungwa na Mtemi Ramadhan akipokea pasi safi ya Zamoyoni Mogella


Kila la heri Mnyama Mkali..Ushindi ndo lengo letu

Sent using Jamii Forums mobile app
Simba hawajawahi kukutana na AL AHLY HAPO KABLA... GAME YAO YA KWANZA NI HII WALIYOFUNGWA 5..
USIPENDE UPUUZI WA FB KULETA HAPA PAKA WA MGANGA WW..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shadeeya

Shadeeya

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2014
Messages
27,872
Likes
70,208
Points
280
Shadeeya

Shadeeya

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2014
27,872 70,208 280
Ingekuwa mpira unachezwa mdomoni saa hizi Al Ahly angekuwa kashapigwa 3 kabla ya mechi.
Na Simba angekuwa keshapewa Ubingwa wa Klabu Bingwa Afrika na yupo anasubiri kucheza klabu bingwa ya Dunia. Teh teh.
 
Shadeeya

Shadeeya

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2014
Messages
27,872
Likes
70,208
Points
280
Shadeeya

Shadeeya

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2014
27,872 70,208 280

Forum statistics

Threads 1,262,535
Members 485,585
Posts 30,125,293