Chanzo: DW Kiswahili
Mbona bei hii ni kawaida tu mkuu??kwan uko wapi?
Mkazi Mbezi Kibamba jijini Dar es Salaam Tanzania akichagua kuku kwa ajili ya mandalizi ya sikukuu ya Eid El-Fitr ikiwa ni hitimisho la Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Hivi sasa bei ya kuku wa kienyeji imepanda kufikia shilingi 30,000 kwa jogoo.
Chanzo: DW Kiswahili
HahahaaLabda hali kuku mpaka Eid ifike
Mmmh kwa usawa huu tutakula sungura
Njoo na hiyo vunja bei mkuuNikija kuuza hapo kuku wangu kwa 15-20 nitamuharibia soko jamaa hahaha
Njoo na hiyo vunja bei mkuu