Kuelekea 21/1/19: What is the best way forward?. Spika afute wito wa CAG na kuomba radhi, ang’oke, CAG ajibu mapigo atolewe kafara, Bunge livunjwe!

sasa nani anajaribu kupotosha? Mwenzako kaeleza anavyojua na wewe ungeeleza pia unavyojua na badala yake unapinga tu. kumbuka kuwa bado hajaenda na ni bora ukae kimya maana kama asipoenda utaaibika tu
UNAJISIKIAJE KWA MFANO
 
Unapoambiwa umejichafua na ushahidi harufu na uchafu unaonekana, halafu unakataa na kukasirika, sijui hapo uitweje..?
 
Wanabodi
Kama kawaida yangu kunapotokea mitanzuko kati ya kauli za viongozi, sheria na katiba, watu wote wenye mapenzi mema na taifa hili lazima wajiulize what will happen hiyo tarehe 21/1 maana tayari kuna kila dalili ya the clash of Titans kati ya sheria na katiba kuhusiana na CAG kuuzungumza ukweli kuhusu Bunge letu, Spika kumuita CAG kuhojiwa kwa kutumia mamlaka yake kisheria, wakati CAG ana kinga ya kikatiba ya kutohojiwa na yeyote zaidi ya mahakama.

Kunapotokea mgongano kati ya katiba, sheria, taratatibu na kanuni, katiba ndio the supreme, hivyo kisheria kinga ya CAG kutohojiwa ni kubwa kuliko sheria inayompa mamlaka Spika kumuita yoyote kumhoji.

Hivyo mwisho ya sakata hili ni ama Spika, ama CAG ama Bunge!. Ila kwa umasikini huu, naona uamuzi utakuwa ni ama kufanya the right thing kwa udhaifu kwenye Bunge letu uondoke, au kumtoa kafara GAG kumnusuru Spika na kulinusuru Bunge.

Jumatatu Njema.

Paskali
Naendelezea hapahapa~~chochote chenye public interest kina mawazo na maamuzi yanayotoka kwa watu kwa ajili ya watu,mwenyekiti wa ccm ndiye anejigeuza kuwa mwenyekiti wa Tanzania,yeye ndiye anayeamua nini kiwe for public interest na kipi kisiwe,alipomtimua mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali baada ya mkaguzi huyo kusimamia public interest wewe Pascal Mayalla hukumgombeza magufuli au kumkumbusha kuwa pesa iliyopotea ni ya umma,na mkaguzi ndiye jicho la umma,unamshangilia mwizi halafu unaongea habari za public interest,fool
Mkuu Capt Tamar ,
Asante,
Ubarikiwe
Japo sina uhakika, kwavile siwezi kusoma mabandiko ya watu wote humu, lakini humu JF, mimi ni miongoni mwa tuliomuongelea sana CAG, Ofisi ya CAG na Ripoti za CAG!.
Nakutakia Jumapili Njema
P
 
Back
Top Bottom