Kuelekea 2020 upinzani hatuna namna, twendeni na Zitto Kabwe

Kinachonikera, upinzani wenyewe kutoaminiana. Badala ya kuungana, kila chama kinaweka mgombea. Tutashinda bila umoja?
 
Nitawaona CDM hawana akili kama wanafikiria kumsimamisha Lowassa. Maana kilichompa kura 6m siyo kupendwa kwa upinzani ni mtafaruku ndani ya CCM ambao unaweza kudhibitiwa miaka hii Mitano kwa 60% na kupunguza kura za Lowassa huku za Za JPM zikiongeze kwa 3.6 na kuwa 11.9 wakati Lowassa akiambulia 2.4 tu!! Hawatakuja waamini lakini ndio itakavyotokea hivyo!!
Mtafaruku umeisha????????
 
Unamdharau Mbowe? Angalia amekuwa mwenyekiti wa chama kwa muda gani? Kama angekuwa hafai basi asingekuwa chair.
Kwani kuwa m/kiti wa wajinga inakufanya uwe mwelevu? Kipimo cha muda wa uenyekiti hakijatulia! Angaalia ktk uenyekiti wake ameshika dola? Unaweza ww mwenyewe ukawa 'smart' kuliko hata huyo Mbowe unayemsifia!
 
  • Thanks
Reactions: bdo
Kwani kuwa m/kiti wa wajinga inakufanya uwe mwelevu? Kipimo cha muda wa uenyekiti hakijatulia! Angaalia ktk uenyekiti wake ameshika dola? Unaweza ww mwenyewe ukama 'smart' kuliko hata huyo Mbowe unayemsifia!
andkaa vizur mwandko mchafuu uoo asa ukama ndo nin thus y unapresent poor logic of idear
 
Naunga mkono hoja kwa asilimia 100%. Kama wapinzani nchini Tanzania wako serious na ni kweli na kwa dhati wanataka kwenda Ikulu, then hawana any other option, its either Zitto Zuberi Kabwe, or never! .

Zitto ni Mzalendo wa kweli, Baada ya kumsikiliza leo, nimebaini haya

Paskali
Wandugu, dalili ya mawingu imeanza, hii ni habari njema ya dalili njema.
Hongera ZZK , Hingera Mbowe , siasa Si Si Uadui , Haya ndio tunataka kuyaona Kwa Wapinzani .
VView attachment 469121View attachment 469123yema
Hii ni dalili nzuri ya a united front ya 2020 na kama Wapinzani wakiweka tofauti zao pembeni na kumsimamisha mtu kama Zitto, kwa 2020, CCM haiwezi kupata mteremko kama wa 2015 kwa sababu Zitto ni strategist, anaendesha scientific politicking.

Paskali
 
Back
Top Bottom