Kuelekea 14 Oktoba: Kwanini Nyerere Day ni kumbukizi ya siku ya kifo cha muasisi, shujaa na mzalendo wa taifa letu na sio kuzaliwa kwake (Aprili13)?

Swala la kwanza hebu tutajie nchi yoyote duniani ambayo wanasherehekea/ wanaadhimisha birthdays za watu wao muhimu (let alone Jesus)

Kuzaliwa kwao hakuna mantiki kuadhimishwa kwakuwa haikujulikana kama wangekuwa hivyo walivyokuwa! Tunadili na wao kuanzia pale walipotambuliwa tu

Kuhusu swala lako la pili sasa si masanamu yatakuwa mengi kuliko watu maana hao viongozi hawaishi ujue.

Kwa muono huo inaonesha ishu ya masanamu itahama itaenda kila makao makuu ya mkoa, wilaya, jimbo, tarafa, kata, mtaa na/au kijiji, kitongoji hatimaye sehemu za umma kama shuleni, zahanati, magereza, sokoni, halmashauri, polisi, na ofisi zote nyingine za serikali
 
Swala la kwanza hebu tutajie nchi yoyote duniani ambayo wanasherehekea/ wanaadhimisha birthdays za watu wao muhimu (let alone Jesus)
Sio kila jambo lazima lianzishwe na wengine, wewe pia unaweza kuwa trendsetter...
 
Back
Top Bottom