Kudukuliwa kwa simu ya mkononi

Surya

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
8,363
12,537
Kama mtu akidukua simu yako,
Akapata access ya kuona call na sms zako kupitia simu yake,
Pia anaweza kutuma sms au kupiga simu kwa kutumia ID yako (means namba yako) kwa mtu mwingine kwa kutumia simu yake????

Msaada hapo wakuu
 
Kuna mjuba mmoja hvi

Haahaaa sio poa..
Anyway kuna sites za kulipia kwa mwezi mpaka mwaka,pia kuna sites za free.
Walitengeneza kwa kazi maalumu hasa kufatilia simu za watoto/wanafunzi na simu za ofisini wanazopewa wafanyakazi kwa ajili ya mambo ya kiofisi
 
  • Thanks
Reactions: Ctr

Zitaje ambazo ni za bure na malipo iwe msaada
 
Sawa ngoja nikaushe tu, mi baharia
Nifanye kusinzia tu hapa
Haahaaa sio poa..
Anyway kuna sites za kulipia kwa mwezi mpaka mwaka,pia kuna sites za free.
Walitengeneza kwa kazi maalumu hasa kufatilia simu za watoto/wanafunzi na simu za ofisini wanazopewa wafanyakazi kwa ajili ya mambo ya kiofisi
 
Sawa ngoja nikaushe tu, mi baharia
Nifanye kusinzia tu hapa
Samahani mkuu, naomba niambatanishe picha ingawa nimetoka nje ya mada.
IMG-20190910-WA0002.jpeg
 
Haahaaa sio poa..
Anyway kuna sites za kulipia kwa mwezi mpaka mwaka,pia kuna sites za free.
Walitengeneza kwa kazi maalumu hasa kufatilia simu za watoto/wanafunzi na simu za ofisini wanazopewa wafanyakazi kwa ajili ya mambo ya kiofisi
Matapeli hao,kama hizo App za kibongo ndio usiseme narudia tena ni matapeli hatari
 
Sio hivo Mjuba, kuna manzi kadukuliwa na mtu ambae yeye hamtaki sasa na mm nataka nimdukue na yeye hili twende sambamba, mi si baharia. But

Nimeisha ona njia ya code inavokua, lakini nimeona nipotezee tu mi mwenyewe nina mambo mengi ya kufanya.
Punguza wivu mkuu k hainaga makombo usije ukamdukua ukaishia kuua bure.
 
Matapeli hao,kama hizo App za kibongo ndio usiseme narudia tena ni matapeli hatari

Matapeli wapo sikatai mkuu ila app zipo za kizungu na zinafanya kazi kweli au na hili unabisha ?
Achana na app za kibongo hazina leseni hiyo na sio rahisi kupata
 
Sio hivo Mjuba, kuna manzi kadukuliwa na mtu ambae yeye hamtaki sasa na mm nataka nimdukue na yeye hili twende sambamba, mi si baharia. But

Nimeisha ona njia ya code inavokua, lakini nimeona nipotezee tu mi mwenyewe nina mambo mengi ya kufanya.

Hahaa poa mkuu temana na huyo mjuba
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom