Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuuu mzeebaba njia gani hiyo inatumika???
Kuna mjuba mmoja hvi
Zitaje ambazo ni za bure na malipo iwe msaadaHaahaaa sio poa..
Anyway kuna sites za kulipia kwa mwezi mpaka mwaka,pia kuna sites za free.
Walitengeneza kwa kazi maalumu hasa kufatilia simu za watoto/wanafunzi na simu za ofisini wanazopewa wafanyakazi kwa ajili ya mambo ya kiofisi
Haahaaa sio poa..

Sawa ngoja nikaushe tu, mi baharia
Nifanye kusinzia tu hapa
Zitaje ambazo ni za bure na malipo iwe msaada
Sawa lakini ungetaja ingesaidia kusearch huko googleZipo google nyingi mkuu,nenda katafute ukishindwa uje na ten nikufundishe kila kitu
Samahani mkuu, naomba niambatanishe picha ingawa nimetoka nje ya mada.Sawa ngoja nikaushe tu, mi baharia
Nifanye kusinzia tu hapa
Matapeli hao,kama hizo App za kibongo ndio usiseme narudia tena ni matapeli hatariHaahaaa sio poa..
Anyway kuna sites za kulipia kwa mwezi mpaka mwaka,pia kuna sites za free.
Walitengeneza kwa kazi maalumu hasa kufatilia simu za watoto/wanafunzi na simu za ofisini wanazopewa wafanyakazi kwa ajili ya mambo ya kiofisi
Punguza wivu mkuu k hainaga makombo usije ukamdukua ukaishia kuua bure.
Samahani mkuu, naomba niambatanishe picha ingawa nimetoka nje ya mada.View attachment 1204927
Matapeli hao,kama hizo App za kibongo ndio usiseme narudia tena ni matapeli hatari
Sio hivo Mjuba, kuna manzi kadukuliwa na mtu ambae yeye hamtaki sasa na mm nataka nimdukue na yeye hili twende sambamba, mi si baharia. But
Nimeisha ona njia ya code inavokua, lakini nimeona nipotezee tu mi mwenyewe nina mambo mengi ya kufanya.