Kudos President Magufuli, hili la Makonda na TAKUKURU limetafsiri uhalisia wako

Michael Andrew Jr

JF-Expert Member
Jul 1, 2020
219
665
Salute wakuu.
Ilikuwepo dhana kua Rais Magufuli alikuwa na watu wake wasioguswa hata wakifanya ujinga kiasi gani, wengine walienda mbali na kusema kua aliyekua mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ndugu Makonda alikua msiri wake na asingeweza kufanywa lolote wala chochote na mtu yoyote yule.

Pili walisema Mrisho Gambo alikua kijana wake kama alivyo Makonda, hivyo hata akifanya 'utopolo' kiasi gani basi angelindwa.

Vivyo hivyo kwa watu, viongozi au taasisi zilizopendelea maendeleo katika wilaya ya Chato, walionekana kutumwa na Rais Magufuli na mkui wa nchi alipendelea hali hyo. Lakini kwa yaliomkuta Makonda, Gambo na TAKUKURU yamethibitisha kua rais Magufuli hatabiriki, hana mazoea na wala hababaishwi na yoyote aliyemteua.

Tanzania tukipata viongozi wa namna hii angalau kwa miaka 30 hivi sina shaka tutafika katika hatua nyingine za maendeleo ya kiuchumi. Rais wa nchi anapowekwa mfukoni na wafanya biashara au kushindwa ku control baadhi ya watendaji wanaonekana kukwaza wananchi, anakua amiri jeshi asiye na meno na useless.

Katika hili nakupongeza Magufuli umeweka heshima iliyopotea katika kuwanyoosha watumishi wa serikali.
 
Salute wakuu.
Ilikuwepo dhana kua Rais Magufuli alikua na watu wake wasioguswa hata wakifanya ujinga kiasi gani, wengine walienda mbali na kusema kua aliyekua mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ndugu Makonda alikua msiri wake na asingeweza kufanywa lolote wala chochote na mtu yoyote yule.

Kwani amefanya nini? Hata sielewi chochote.
 
Makonda kaguswa?
 
Salute wakuu.
Ilikuwepo dhana kua Rais Magufuli alikuwa na watu wake wasioguswa hata wakifanya ujinga kiasi gani, wengine walienda mbali na kusema kua aliyekua mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ndugu Makonda alikua msiri wake na asingeweza kufanywa lolote wala chochote na mtu yoyote yule.

Pili walisema Mrisho Gambo alikua kijana wake kama alivyo Makonda, hivyo hata akifanya 'utopolo' kiasi gani basi angelindwa.

Vivyo hivyo kwa watu, viongozi au taasisi zilizopendelea maendeleo katika wilaya ya Chato, walionekana kutumwa na Rais Magufuli na mkui wa nchi alipendelea hali hyo. Lakini kwa yaliomkuta Makonda, Gambo na TAKUKURU yamethibitisha kua rais Magufuli hatabiriki, hana mazoea na wala hababaishwi na yoyote aliyemteua.

Tanzania tukipata viongozi wa namna hii angalau kwa miaka 30 hivi sina shaka tutafika katika hatua nyingine za maendeleo ya kiuchumi. Rais wa nchi anapowekwa mfukoni na wafanya biashara au kushindwa ku control baadhi ya watendaji wanaonekana kukwaza wananchi, anakua amiri jeshi asiye na meno na useless.

Katika hili nakupongeza Magufuli umeweka heshima iliyopotea katika kuwanyoosha watumishi wa serikali.

Umeandika maneno mengi sana Mkuu ila Hoja yako hasa kwa aliyekuwa RC wa Dar es Salaam haipo na kama ipo basi Wewe pekee ndiyo unaijua.
 
Salute wakuu.
Ilikuwepo dhana kua Rais Magufuli alikuwa na watu wake wasioguswa hata wakifanya ujinga kiasi gani, wengine walienda mbali na kusema kua aliyekua mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ndugu Makonda alikua msiri wake na asingeweza kufanywa lolote wala chochote na mtu yoyote yule.

Pili walisema Mrisho Gambo alikua kijana wake kama alivyo Makonda, hivyo hata akifanya 'utopolo' kiasi gani basi angelindwa.

Vivyo hivyo kwa watu, viongozi au taasisi zilizopendelea maendeleo katika wilaya ya Chato, walionekana kutumwa na Rais Magufuli na mkui wa nchi alipendelea hali hyo. Lakini kwa yaliomkuta Makonda, Gambo na TAKUKURU yamethibitisha kua rais Magufuli hatabiriki, hana mazoea na wala hababaishwi na yoyote aliyemteua.

Tanzania tukipata viongozi wa namna hii angalau kwa miaka 30 hivi sina shaka tutafika katika hatua nyingine za maendeleo ya kiuchumi. Rais wa nchi anapowekwa mfukoni na wafanya biashara au kushindwa ku control baadhi ya watendaji wanaonekana kukwaza wananchi, anakua amiri jeshi asiye na meno na useless.

Katika hili nakupongeza Magufuli umeweka heshima iliyopotea katika kuwanyoosha watumishi wa serikali.
We pumbavu kabisa, unasema aliwalinda wahalifu ala unasifia kuwatengua,

Kitendo Cha kiongozi kutochukua hatua muda muafaka ni udhaifu mkubwa

Magufuli hafai kuwa kiongozi
 
Back
Top Bottom