The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,586
- 14,137
Alikukimbia wewe na sukuma gang wenzako ,mimi sina jambo jema la kumkumbuka na sitaki kabisa kumsikia.Nimemkumbuka sana Rais Magufuli sijui kwa nini alitukimbia wakati tukimuhitaji sana ila tunamshukuru Mungu kwa ajili ya maisha yake na atabaki kuwa Rais bora kuwahi kutokea Tanzania
By the way mna chama chenu cha Umoja Party nendeni huko muendelee kumkumbuka.