Kudanga kama kote.....

Michewen

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
24,534
32,141
Kutokana na hali kuwa mbaya, wadada/wamama hasa Dar wanadanga kama hamnazo. Usijiloge kumzoea Mdada lazima akutwange mzinga wa kodi. Tuoneane huruma mnataka tuwe wezi? #mida_mibovu#
 

Attachments

  • IMG-20181204-WA0003.jpg
    IMG-20181204-WA0003.jpg
    56.3 KB · Views: 148
Mimi ni kiboko yao maana siwapi mda wa stori ni salamu tu then kila mtu na 50 zake,basi mtaani wanawake wadangaji wananichukia ile mbaya wananiona bonge la gaidi
 
Back
Top Bottom