The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,503
- 2,046
Yanayoendelea kenya ni kielelezo tosha kua katiba yoyote hutungwa katika mazingira ambapo mwenye ushawishi mkubwa kwa raia ndiye anaeihodhi. Ndio maana pamoja na kenya kua na katiba mpya iliyoridhiwa na pande zote mbili lkn haijaweza kuubeba wala kuusaidia upinzani!