Kudadadeki malipo ni hapa hapa duniani kumbe kuna Mtu Kakimbiwa na Mkewe, ila Watu wa Media na Wadhamini wake wanamfichia Siri

Born : Amsterdam

Name : Haji Sunday Manara

Born : January 18

Father :Sunday Ramadhan Manara

Mother : Rehema Hassan Haji

Schools

International School of Tanganyika – Nursey

Bunge Primary School – Primary

Mnazi Mmoja Primary

O Level

Chimala

Don’t take Haji Manara for granted, He was very good enough to do very well, Haji Manara did very well in his O LEVEL studies by earning Division One of Seven Points, The success led to Haji Manara being sent to Mzumbe Special Talent School

A Level

Mzumbe Secondary School

College

Mass Communication – South Africa

Advance Diploma in Politics – China

NB: kwa wale wanaoijuwa IST international school of Tanganyika watakuwa wanaelewa maana ya Foundation ni nini.

Member machoko kama huyu Genta ni wa kupuuzwa tu hapa JF.
Unaweza kutusaidia majina ya hivyo vyuo vya china na south africa na mwaka aliosoma
 
Yaani Mwanaume mgomvi tena ana mdomo mchafu una maanisha Mwanaume wa hivi anaweza vumiliwa angekuwa Mwanamke wewe ungeweza kudumu nae
Ha..ha...ha, Haji havumiliki kwakuwa anajiona bora kupita wengine na hata kwa mkewe.
Binadamu ni lazima tujishushe na kuwa sawa katika mahusiano.
Kwa mwanamke makini lazima aondoke.
Ndoa lazima inyenyekewe na wahusika wote.
Ndoa imeghalimu karibu Tsh. Billioni moja tena imewahusisha watu wazito kama Jakaya Kikwete , halafu inadumu wiki moja tu.
Ni matumuzi mabaya ya Pesa na Utu wa Binadamu.
Waliomchangia ni kama amewatapeli tu pesa zao na kuwavunjia heshima yao.
Kuna ndoa zinadumu sababu tu ya kuwaheshimu waliokuozesha.
 
Please I urge you never to trust that Moron.

Cc: Matola
he eti lopolopo alipata division 1 ya points 7 tena ya miaka ilee ,eti lopolopo ana degree ya mass comm south africa na advanced diploma china asituringishie kwa mapichapicha na vyeti hata majengo ya hivyo vyuo.??
..ah jamani nilimsikiaga kipindi cha Millard Ayo akijisifu kusoma diploma china na degree south africa jina la vyuo hataji wala mwaka...
 
Unaweza kutusaidia majina ya hivyo vyuo vya china na south africa na mwaka aliosoma
Siwezi kufanya hivyo wala sina muda huo, kwangu mimi Haji ni mpuuzi tu sawa na huyo Fala Genta.

Nilichokifanya mimi ni fair play tu kwamba simpendi Haji lakini haimaanishi hakwenda shule, amesoma best school.

Nadhani kuanza na foundation ya IST tu ni lazima uwe na mwendelezo mzuri.

Kuna kitu kimoja binadamu wote ni lazima tuelewe kuna vitu ni God given, hata umchukie vipi mtu huyo huwezi kumnyang'anya alichojaaliwa na Mungu, hivyo yaani.
 
kiongozi unajua umeapia kabisa kwamba huyo jamaa alipata division one, kusoma kindergaten IST siyo sababu ya kumfanya mtu kuwa smart, yule jamaa ni mtu fulani wa ajabu sana,a knucklehead to be precise
Kwa hiyo unatuhakikishia alipata division 1 ya points 7 siyo? na ana degree ya mass comm kaipata south africa na advanced diploma ya politics kaipata China?
Embu kaa chini tafakari vizuri halafu ujitathmini tena ulitu chopostia huku ukiwa unampatia picha huyo mtu mwenyewe unayemtetea
 
Ha..ha...ha, Haji havumiliki kwakuwa anajiona bora kupita wengine na hata kwa mkewe.
Binadamu ni lazima tujishushe na kuwa sawa katika mahusiano.
Kwa mwanamke makini lazima aondoke.
Ndoa lazima inyenyekewe na wahusika wote.
Ndoa imeghalimu karibu Tsh. Billioni moja tena imewahusisha watu wazito kama Jakaya Kikwete , halafu inadumu wiki moja tu.
Ni matumuzi mabata ya Pesa na Utu wa Binadamu.
Hapa tupo pamoja mkuu
 
he eti lopolopo alipata division 1 ya points 7 tena ya miaka ilee ,eti lopolopo ana degree ya mass comm south africa na advanced diploma china asituringishie kwa mapichapicha na vyeti hata majengo ya hivyo vyuo.??
..ah jamani nilimsikiaga kipindi cha Millard Ayo akijisifu kusoma diploma china na degree south africa jina la vyuo hataji wala mwaka...
Siku zote machoni pa watu wenye akili unapopinga data, unaleta data zinazoelezea ukweli halisi with vivid evidence.

Si hizi porojo unazoandika wewe kwa personal emotions zako za Manaraphobia.
 
kiongozi unajua umeapia kabisa kwamba huyo jamaa alipata division one, kusoma kindergaten IST siyo sababu ya kumfanya mtu kuwa smart, yule jamaa ni mtu fulani wa ajabu sana,a knucklehead to be precise
Kwa hiyo unatuhakikishia alipata division 1 ya points 7 siyo? na ana degree ya mass comm kaipata south africa na advanced diploma ya politics kaipata China?
Embu kaa chini tafakari vizuri halafu ujitathmini tena ulitu chopostia huku ukiwa unampatia picha huyo mtu mwenyewe unayemtetea
Nina mashaka na umri wako, unaweza kunionesha ni wapi nimeapa katika thread hii?

Unashangaza sana yawezekana wewe na Genta ni wapuuzi ambao mpo kwenye same category.

Performance ya mtu darasani haina uhusiano wowote na public relations, ndio sababu unaona msomi nguli na Profesa wa uchumi Ibrahim Lipumba nje ya taaluma ni mpumbavu tu sawa na wapumbavu wengine.

Kuna watu wana elimu ya kidato cha nne tu lakini ni vichwa kwelikweli. Tatizo lenu wengi mpaka sasa ni mindset.
 
Naomba nitajie mwaka aliopata division oen ya points 7 mkuu, acha makasiriko nataka nijihakikishie mwenyewe hata kama miaka hiyo hakukuwa na kuweka matokeo mitandaoni ninajua jinsi ya ku prove
usiwe na shaka na aelimu yangu umeshindwa kunisaidia majina ya vyuo vya "genius" lopolopo vya south africa na china nisaidie tu huo mwaka aliopiga division 1 ya points 7 na shule
 
Sawa tumeshajua kuwa unakaa hapo ( huko ) Masaki ambako Wewe umepajua Ukubwani ila Mightier nimezaliwa Mtaa huo huo, kusomea St. Peters Kindagarten hapo kisha Oysterbay Primary ambapo Mwalimu Mkuu wangu akiwa ni Marehemu Mwalimu Ng'ambi nikisoma na Watu kama akina Idi Janguo, Aluta Warioba na Dada Brenda Msangi Boss wa CCBRT.

Na Mimi na Kaka zangu ndiyo Waanzilishi wa hizo Beach Mbili za Coco Beach na kule Slipway enzi hizo tukiwa na Wadau wengine akina Marehemu Ngapasa Mapunda na Nicky Ngonyani wa Magic FM.

Watambie Washamba wenzio kuhusu Masaki na siyo Mimi sawa? Na mpaka sasa hata aliyenileta duniani anaishi hapo hapo Masaki tena Nyumba yake ikitizamana na Bahari.

Pimbi mkubwa Wewe.....!!!!
Bila Shaka unadhihirusha akili zako...ndio maana wazazi wako wanaishi Masaki wewe upo Buza!
 
Kumbe huu Upole wa hizi Wiki Mbili ni za Kuwaza jinsi ulivyooa kwa Mikogo ( japo waliofanikisha Ndoa yako ndiyo hao hao tena Wanakusaidia Kazi ) na sasa Mke Kakukimbia na unahaha Kumrudisha ila mpaka Mightier naandika Uzi huu hujafanikiwa bado.

Na ili uone kuwa Watu tunajua Kufukunyua Taarifa Ngumu na Nyeri za Kijamii ni kwamba kumbe hata ile Siku uliyotudanganya umepata Ajali Usiku Mkeo alikupiga na Kukuumiza kidogo kwakuwa ulirejea Kwako ukiwa Umelewa Chakari kama Kawaida yako na uliogopa kwenda katika Interview yako kwa Majizzo FM kwakuwa Uso ulikuwa Umeshaumuliwa na Kuumuka vizuri tu.

Ulivyokuwa Ukiwatukana Watu na Kuwadhihaki ulijua kuwa Mwenyezi Mungu hatowajibia kwa namna ya Kipekee? Haya sasa kipo wapi? Huyu ni Mke wa Pili anakukimbia hujiulizi na hujishangai tu?

Siri imeshafichuka Kudadadeki na bado!
Huyo ni mke wa tatu mkuu kamkimbia
 
Bila Shaka unadhihirusha akili zako...ndio maana wazazi wako wanaishi Masaki wewe upo Buza!
Hata kisarawe kuna Masaki, hasikuumize akili fala huyu.

Ukiona mtu anajifanya kila kitu anajuwa na kila mtu anamjuwa yeye hujuwe hapo kuna tatizo bora hata huyo Haji yeye anajuwana na matajili tu wanaomuwezesha.
 
Sasa huyo mtoto wa ---pombe wapi na wapi
Mambo ya pombe atuachie sisi tu

Ova
 
Kumbe huu Upole wa hizi Wiki Mbili ni za Kuwaza jinsi ulivyooa kwa Mikogo ( japo waliofanikisha Ndoa yako ndiyo hao hao tena Wanakusaidia Kazi ) na sasa Mke Kakukimbia na unahaha Kumrudisha ila mpaka Mightier naandika Uzi huu hujafanikiwa bado.

Na ili uone kuwa Watu tunajua Kufukunyua Taarifa Ngumu na Nyeri za Kijamii ni kwamba kumbe hata ile Siku uliyotudanganya umepata Ajali Usiku Mkeo alikupiga na Kukuumiza kidogo kwakuwa ulirejea Kwako ukiwa Umelewa Chakari kama Kawaida yako na uliogopa kwenda katika Interview yako kwa Majizzo FM kwakuwa Uso ulikuwa Umeshaumuliwa na Kuumuka vizuri tu.

Ulivyokuwa Ukiwatukana Watu na Kuwadhihaki ulijua kuwa Mwenyezi Mungu hatowajibia kwa namna ya Kipekee? Haya sasa kipo wapi? Huyu ni Mke wa Pili anakukimbia hujiulizi na hujishangai tu?

Siri imeshafichuka Kudadadeki na bado!
Daah salaale.

Unajua ni aibu sana mke kumkimbia mume hasa pale ambapo mume kimaslahi ana kauwezo ka kubadili mboga saba. Ina maana vyombo haviumani siyo.

Nilishangaa ukimya wake wa ghafla.

Naomba namba ya mkewe nim-bembeleze arudi kwa jamaa
 
31 Reactions
Reply
Back
Top Bottom