Kuchukua namba ya mwanamke bila ridhaa yake ni utopolo

Muuza simu used

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
4,393
7,039
Baadhi ya madomo zege wamekuwa wakipata namba za warembo kwa kupitia njia mbali mbali za panya! Ila ni fedhea ya hali ya juu mwanamke kuanza kukuuliza wewe ni nani wa wapi namba amekupa nani una shida gani! Nyoosha maelezo nitakublock!

Ukishindwa kuomba namba kwa muhusika moja kwa moja ni utopolo wa hali ya juu sana na utazalilika vya kutosha!
 
Uko sawa mkuu

Raha ya namba ni uipate kwa muhusika moja kwa moja....halafu mwanamme unaogopaje kuomba namba kwa mwanamke asee
 
Heeee mambo mengi muda mchache, je kama imekua ngumu kuonana tangu niamue kutaka kusajili jimbo lako.?
Unachukua tu namba kwa mtu kama anayo kisha ukitafutwa unaombwa na meeting siku hiyo hiyo under the coconut tree. 😂😂
 
Uko sawa mkuu

Raha ya namba ni uipate kwa muhusika moja kwa moja....halafu mwanamme unaogopaje kuomba namba kwa mwanamke asee

Well said mkuu,ukichukua namba kwa mtu mwingine ni maswali ya kizembe kwa kwenda mbele
 
Mwanamke ambae Sina mazoea nae Ni ngumu kuongea nae.hyo ndo dawa yake.
Mchawi namba tu
Uko sawa mkuu

Raha ya namba ni uipate kwa muhusika moja kwa moja....halafu mwanamme unaogopaje kuomba namba kwa mwanamke asee
 
Ila kweli unajua usipochukua kwa muhusika mambo yanakuwa mengi.
Ila ukipata kwa muhusika mwenyewe kwanza unakuwa na asilimia kadhaa za kufanikiwa kwa lengo lako.
 
Back
Top Bottom