Upo mkoa gani?Poleni na majukumu wakuu.
Nilikuwa nafanya kazi sehem X sasa nimeamua kuacha na kuendelea na maisha mengine, sasa nimeenda NSSF kuchukua michango yangu naambiwa mpaka nifikishe Miaka 55? Hii hatari sana.
Wanajamvi hii imekaaje?
Dar es salaamUpo mkoa gani?
Ulipo kuwa umeajiriwa ni unafanyia kazi ni private?
Una muda gani tangu utoke kazini?
Je, ulifukuzwa ama uliacha mwenyewe?
Mkuu, ebu fanya ujibu hayo ili tukupe connection ukavute mtonyo wako
Okay, nimekucheck PMDar es salaam
Private
Miaka 2
Niliacha mwenyewe