Kuchomwa moto Ofisi za TAKUKURU HQ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuchomwa moto Ofisi za TAKUKURU HQ

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kichakoro, Oct 9, 2011.

 1. K

  Kichakoro JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2011
  Joined: Sep 10, 2008
  Messages: 1,548
  Likes Received: 1,307
  Trophy Points: 280
  Wakubwa wana wa JF,Nilikua nafuatilia issue moja hapo TAKUKURU wiki chache zilizopita na kuna wakati nilizuiliwa kwenda hapokwa kisingizio kuna mkutano ullikua unaendelea hivyo hawaruhusu wageni. Mimi nilikua nafuatilia "mambo yangu".Ila baadae nilikuja kupata habari kwamba hakukuwa na mkutano wowote ila kulikua na uchinguzi unaendelea kwa sababukuna watu walivunja/waliingia ndani/ walitaka kuchoma moto au walichoma moto na kuiba baadhi ya nyaraka MUHIMU sanahivyo wengi wa wafanyaazi walipewa likizo ya dharura kupisha uchunguzi kufanyika.Nimefuatilia sana suala hilo nimegonga mwamba kupata ukweli nini kimetokea. Ukweli niliopata ni mmoja tu kwamba ni kwelikuna tukio lililotokea na baadhi au asilimia kubwa ya wafanyakazi walizuiliwa kuingia ofisini.Je usallama wa watoa taarifa uko wapi????? je mbona umma haukujulishwa kuhusiana na hujuma hiyo????Je ni nyaraka zipi MUHIMU zilizopotea au kuharibiwa?????? Je kuna suspect waliokamatwa??Nawasilisha hija
   
 2. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Binafsi siridhihswi na utendaji wa takukuru kwahiyo sidhani kama kuna nyaraka hata moja muhimu hapo zaidi ya makaratasi tu

  Kama kungekua na nyaraka muhimu tungeona output....

  Hivi for the pst 6 months wametoa products zipi??
   
 3. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Moja ya institutes zinazokula kodi yangu ninayokatwa kila mwezi bila kuona output zake ni Takukuru! Anyway, labda wanazibwa midomo ndo maana tunawalaumu.
   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  hawana maana hawa, wanakula kodi na kuendesha magari ya fahari lakini hakuna output

  ni sawa na kufuga ngombe dume tu labda lichinjwe ndio uuze nyama
   
 5. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Ni ofisi gani za Takukuru? Makao makuu au?
   
 6. K

  Kichakoro JF-Expert Member

  #6
  Oct 9, 2011
  Joined: Sep 10, 2008
  Messages: 1,548
  Likes Received: 1,307
  Trophy Points: 280

  Mkuu ni kweli hakuna jipya hata ile kesi ya Mramba et al. si unaona imekaa kimya.

  Hata kama hakuna jipya huku kumwagiana tindikali, kupeana sumu and the like kuanziaga huku huku kwenye upotevu wa mafile/nyaraka za serikali
  hasa vyombo kama hivi vwa uchunguzi wa tuhuma
   
 7. K

  Kichakoro JF-Expert Member

  #7
  Oct 9, 2011
  Joined: Sep 10, 2008
  Messages: 1,548
  Likes Received: 1,307
  Trophy Points: 280
  takukuru upanga mkuu
   
 8. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #8
  Oct 9, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,438
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Jamaa wanaudhi sana, wanalipwa maposho makubwa pamoja na magari ya kifahari lakini hawana lolote, wanatumika tu kisiasa kama jamaa wa Usalama wa Taifa. Sisi ambao tunaingizia serikali mapato hatupati hata nusu ya maslahi wanayolipwa Takukuru na Usalama wa Taifa. Damn them!!
   
 9. rfjt

  rfjt Senior Member

  #9
  Oct 9, 2011
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 184
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Napendekeza taasisi hii ivunjwe kwani haina ufanisi na imeshindwa kuzuia kabisa rushwa yaani haina technic ya kuwakamata wapenda rushwa.
  Wanalipwa mishahara na posho kubwa lakini pesa ''wanayookoa'' ni kidogo. Ni sawa na kuunda tume inayotumia shs 10M ili ichunguze upotevu wa shs 2M.
  Sheria tu zizingatiwe kama ilivyokuwa enzi za utawala wa awamu ya kwanza ambako hatukusikia taasisi iliyokuwa imekaa tu imebweteka inayoitwa ''TAK.O-HURU''
   
 10. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #10
  Oct 9, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  TAKUKURU inahusika na kazi gani?
   
 11. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #11
  Oct 9, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  kama kuna transfoma ya umeme karibu itawachapa bakora kama star times.
  wafujaji tu hawa hawazalaishi chochote hata mkuu wao alipoisafisha dowans
  bado yupo hakuna hatua alochukua,hakuna nashauri fungu lao
  lipelekwe ktk huduma muhimu kama shule na hospitali ofisi ifungwe kabisa
  wafanyakazi wahamishiwe wizara zingine.
   
 12. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #12
  Oct 9, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,052
  Trophy Points: 280
  Takukuru hawana chochote muhimu.
  Wao wana dili zaidi na rushwa za chips kuku.
  Zile rushwa kubwa hawana time nazo kwa sababu tume, CAG, na kamati za bunge wanazishughulikia.
  Takukuru zaidi wana deal na rushwa za mahakimu wa mahakama za mwanzo.
   
 13. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #13
  Oct 9, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Inabidi tufike mahali ambapo taasisi hizi ziishi kwa kutegemea na output ............

  to be honest sijui lolote kuhusu TAKUKURU zaidi ya kujua kirefu chake kuwa ni "TAASISI YA KUPAMBANA NA KUZUIA RUSHWA" labda nyongeza kidogo tu ni jina la Yule sijui ndo Mkurgenzi ED-ward Horse-a ........That is all i know about that TAKUKURU thing.......
   
Loading...