kuchoka mwili

Jonash

Senior Member
Dec 3, 2012
164
37
Heri ya mwaka mpya JF...natumaini mu wazima.
Nina tatzo la kuchoka sana muda wote,yaani nausikiaga mwili hauna nguvu pamoja na usingizi kila mara
hali hii inasababishwa na nini?
 
Unatakiwa uende kucheki afya yako hospitalini kama upo OK kwa kila kitu hasa upande wa PRESHA
 
Back
Top Bottom