Kuchojoa wakati wa SEX. Msaada Plz.

Kama tumekutana kwa ajili ya kupass time, then umbo langu lakuhusu nini? Pata kinachokuhusu mchezo kwisha, hutaki tambaa.....mambo yakuanza kuangalia sijui kucha, macho, hips...kwa mkeooo!!

teh teh teh. Kipipi inapokua unatengeneza cv na unataka uwe mke je?
 
Na ye inakuwaje for all those days amekuwa my boyfriend sijui mchumba mpaka imefikia hatua ya kwenda kusex.....asijue hata paja langu ndo aje alione siku hiyo ya ufeki???
 
si ndiyo siku ya kwanza unampa kipipi baada ya wiki au miezi kadhaa ya mitoko ya kufahamiana...halafu ndiyo anakutana na mapande ya hips za kubandika na mnato wa kichina teh teh teh..
 
Hehehehe nadhani hua wanavaa kwaajili ya mwonekano nje tu. Wakifika ndani wanatoa.

sasa pata picha kwamba ndiyo umekuwa impressed na huo muonekano wa nje halafu mkiingia ndani anaanza kuchojoa bandiko moja baada ya lingine.... lazima utoke nduki kwa kudhani umetokewa na popobawa....
 
Mambo mengine ya ajabu kweli, unakuta m2 ana hips, nice breasts, hairs, ukienda chumbani kachange! Si ndo wanaitwa majini hao, unapiga ngumi tuu!
 
Hahaha kweli inatisha ndio maana nikamwambia bibie awe na kiasi ili asitofautiane na sana na yeye alivyo kiukweli. Maana ule ni uongo sawa na uongo mwingine.. mtu anajibadili mpaka anakua sio yeye tena, unampenda/tamani kama alivyo alafu unakuja kugundua kuwa yote ni fake!Not fair!!!
 
LOL! inabidi umtolee nje tu...Mama/Dada mie muonekano niliovutiwa nao kwako kumbe ulikuwa artificial hivyo naona siwezi kuendelea tena na mahusiano haya ya kimapenzi.
 
kweli kabisa...; ni tamu sana kumpenda mwanamke ambaye yuko natural... unapooga naye, unapoamka naye asubuhi, una-appreciate God's creation
 
halafu gharama za mabandiko yote hayo zinakuwa passed over kwa 'mlaji'
 
kweli kabisa...; ni tamu sana kumpenda mwanamke ambaye yuko natural... unapooga naye, unapoamka naye asubuhi, una-appreciate God's creation
Sema sasa na nyie mnavyodata na mchina mnawakosesha imani ya kuwa wao wakibaki naturale mtawapenda vile vile. Muwe mnawaambia basi!!
 
kweli kabisa...; ni tamu sana kumpenda mwanamke ambaye yuko natural... unapooga naye, unapoamka naye asubuhi, una-appreciate God's creation

Nakubaliana na Erotica, kuwa mna mchango mkubwa sana katika hii kitu! Kweli mngekuwa attracted na naturale; kina dada wengi wangekuwa hivyo. Lkn kwa vile mnataka mionekano ya Miss ....., basi nasi twatafuta huku mki-foot the bills of course!
 
ndio hapo sasa...unakutana na mwanamke ana make up wig mnaenda nae kulala asubuhi anaamka mwanaume unataka kukimbia...akienda kuoga inakua soo....bt ndio dunia ya leo wanawake ni plastic....they aint real inabidi tuzoee hiyo hali
 
Coz they know what u want, nywele za kiasia, rangi ya kiarabu, kope za kihindi; alijuaje? Coz maporno yote yanayokuhamasisha ni mapicha ya wadada wakiasia/hindi/zungu.

Wewe unajua nywele za waTZ mostly kipilipili why go for straight fake hair chick! Tegemea rangi pia fake, mnato enhanced by machemical n so much more! What u want is what u get!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom