Kucheza na Jeneza.

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,645
155,016
Hii mila imekaaje? Naona nchi nyingi sana za West Africa na hata katikati ya Africa wanayo sana.
Mtu akifa huwekwa kwenye jeneza kisha jeneza huzungushwa mitaani huku vijana wakiwa wamelibeba na wakicheza nalo la umaridadi na ustadi wa hali ya juu.
Kama kuna mtu ana ujuzi zaidi wa mila hii naomba anijulishe.
Je hawa wachezaji hujitolea au hukodiwa?
Je wanasherehekea kifo cha huyo mfu ama la?
Nini kusudi la dansi hilo?

Last edited by a moderator:
Wangeiona hii wangeacha huo mchezo!
 
Dunia imejaa vihoja :bowl:
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom