Kuchepuka, Nguvu ya kuanzisha mahusiano

Surya

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
8,378
12,572
Kiasili, kati ya mwanamke na mwanaume mmoja wapo akipenda na kuamua kumpata yule alie mpenda, kwa mwanamke ni rahis sana kumpata mwanaume alie mpenda.
Kwahiyo tukiwa ndani ya mahusiano, mwanaume anapotiza mwanamke mwingine na kuona ni mzuri si hatari sana kama mwanamke atakapo angalia mwanaume mwingine na kusema ni mzuri.

So, mwanamke ndie ana nguvu kubwa ya ushawishi au kuanzisha mahusiano
Lakini wengi wahawezi kufanya hivi kwa sababu ya kujiona na mapungufu mengi sana na wao ni mizigo.
Kwahiyo KE' anaamua ngoja nisubir atakae jileta/ atakae jichanganya na kusema ananipenda, ili nipitie humo kwenye udhaifu wake wa yeye kunipenda ghafla.

Na mwanamke anapokuuliza umenipenda kweli ? Au umenipendea nini kweli anakua nashahuku ya kutaka kujua, inawezakana vip umempenda na huku yeye anamadhaifu mengi kuliko mazuri.
Aisee inashangaza.

Niwatoe mawazo machafu, mwanaume huwa na sababu nyingi tofauti za kuachana na mwanamke fulani lakini si kwa sababu za tulipatana vip, ulitomtongoza au alikutongoza.
Hata kama mwanaume alitumia nguvu nyingi kukupata mwanamke au alikupata kirahis, akiona umfai atakuacha tu.

Ni wazi kabisa swala la kuwa na mahusiano ni rahisi sana kwa mwanamke, tena sanaaa
Lakini kwa upande wetu wanaume unaweza mpenda mwanamke ukamfata na usimpate, ukaomba namba ukanyimwa au ukapewa na mwisho wa siku ukitongoza ukatolewa nje.

Huko ni kwa namna mnaweza patana vipi.. lakini baada ya kuingia kwenye mahusiano tabia ya kila mmoja wenu katika mahusiano ndio zitaamua kuwa mtaweza kudumu au la.

Na mwanaume siku zote akichukizwa na tabia au akiona mwanamke huyu hanikolezi kwenye mapenzi, kinachofata ni kubwagana tu.
Mahusiano ya kimapenz yanapovunjika mwanaume hadi anakubali muachane ujue hakuhitaji tena, kwani mwanaume hata afanye kosa gani akiamua akufanya usamehe na mrudiane anaweza.

Usivimbe sana na kuona kuwa mahusiano yako ya sana ndio bora kabisa kuliko yalio pita, na kuona kuwa uaminifu ni asilimia 💯 , kwani kila mahusiano huwa na wakati wa kuona kuwa napendwa sana.

NB:
Usimchukie kwa lolote ex wako kwani hata mpenzi wako wa leo ndie ex wako wa kesho.
 
Back
Top Bottom