Kucheleweshwa pesa za kujikimu katika vyuo vikuu umekuwa ugonjwa wa kudumu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kucheleweshwa pesa za kujikimu katika vyuo vikuu umekuwa ugonjwa wa kudumu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Fndibalema, Feb 29, 2012.

 1. F

  Fndibalema New Member

  #1
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika nchi yenye serikali ambayo inawajibika kwa wananchi wake haiwezi fanya makosa ya aina moja kila siku.Yaani nimeandika habari hii kutokana na mateso wanayopata wanafunzi wa vyuo kutokana na kucheleweshwa kwa pesa ya kujikimu.mfano mzuri ni chuo kikuu cha ST. Augustine cha Mwanza leo ni wiki ya pili tangu chuo kifunguliwe na masomo yameishaanza lakini wanafunzi hawajapata pesa hizo huku uongozi wa bodi ya mikopo ukidai serikali haina hela hizo kwa sasa, na vilevile UDSM leo ni siku ya tatu wanafunzi bado wako mkoani hawana nauli ya kurudi na wengine wakihaha kutokana na njaa.Hivi kweli serikali inawajibika ipasavyo??na nini kitafata baada ya wanafunzi kushindwa uvumilivu??yangu macho je wadau hii iko sawa kweli??kumbuka wanenu wanateseka vyuoni.:A S 465:
   
 2. P

  Piazza jr Member

  #2
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 30, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sio ya pili ni ya tatu 3. Serikali wanazingua bt yana mwisho na mwisho wake nahisi hautakua mzuri
   
 3. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #3
  Feb 29, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,356
  Trophy Points: 280
  We acha tu, ngoja nitulie Kitaa, nijipange kwanza.
   
Loading...