Kucheleweshwa kwa Mkopo World Bank: Tumkemee Zitto Kabwe kwa pamoja

Zitto ana kesi Kisutu.

Halafu kuwa na kesi siyo jambo la ufahari au ukamanda.

Mbona Mbowe hakuwa na kesi awamu ya 4 lakini hamkusema, Lowassa, Sumaye Makamanda Wenu Wapambanaji Mbona Hawana Kesi Yoyote ?
 
Politics ni game mzee imacheza na tactics tu! kipindi kile lissu alikwenda kichwa kichwa bila kuusoma mchezo vizuri,zitto anajua kuusoma mchezo mfano mzuri baada ya Lissu na Mbowe kupatwa na maswaiba wa Mkono wa Chuma wa baba jesca ni dhahili baada ya hilo saga kumalizika kutokana na watu kulipigia sana kelele nii wazi kabisa utawala wa baba jesca usingefanya mfanya mtu chochote kama ingetokea kuanza kuichafua Serikali-na hapa ndipo zitto anatumia fursa hii.

Maana ikitokea Mwanasiasa Mkubwa kama zitto apatwe na lolote ni pigo kwa Serikali ndio maana anakuwa nacheza mchezo bila wasiwasi,Kitu kingine ni POWER Mbowe na Lissu wana madhara sana kwa serikali kuliko zitto sababu ya power ya wafuasi wengi wa CDM.
 
IMG_1015.JPG
IMG_1016.JPG
IMG_1017.JPG



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Niliwahi kushauriwa nivute subira ili niweze kumjua Zitto pale nilipomfananisha na Mzee Mzindakaya kwenye kuhoji masuala mahususi ya kitaifa. Nilivuta subira, na kweli nilikuwa nimekosea sana kumfananisha Zitto(Mb) na Mzee Mzindakaya.
 
Mbona lugha na hati iliyoitumika haiendani na ya Mh Z. Zitto?

Nina mashaka 75% na hii barua kama ni kweli kaiandika Mh Z. Zitto.
 
Back
Top Bottom