Kucheleweshwa kwa Hela za kujikimu kwa wanafunzi wa elimu ya juu, mpaka pale watakapo lipa Hela ya usajili na kusajiliwa chuoni

commm

JF-Expert Member
Sep 6, 2019
1,674
1,905
Wakuu naomba Muongozo juu ya hili suala.

Je ni sahihi kwa chuo kuchelewesha hela za wanafunzi kwa kigezo cha lazima wasajiliwe chuoni wakiwa wameshalipa hela ya usajili, wakati miongoni mwa hao wanafunzi wanategemea hela hizo za kujikimu kuendesha maisha na kulipa pesa kama hizo wanazodaiwa hapo chuo.

Na kama sio sahihi ni hatua gani za kufuata?
 
kipindi umemaliza form six haukujihusisha na ujasiriamali ? Nijibu hapa kwanza
 
Kopa hela ufanye usajiri,, ukipata boom unalipa... Mbona ni easy tu maana hso huwezi kubisgana nao wako juu yako

Nje ya Mada

Nakumbuka kuna Mwanafunzi mmoja nimemkopesha sana fedha akiwa kwenye mazingira magumu sana lakini ameamua anidhulumu pesa yangu. Alikuja na Nyuzi za kuomba akipeshwe pesa kwa riba kubwa sana, nilimuonea huruma nikamkopesha bila riba lakini kaamua akimbie na Jasho la mnyonge
 
Pole mkuu Mungu yupo na atakulipa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilimkopesha mwanafunzi wawili, Mmoja alinilipa kwa uaminifu. Mwingine hadi kesho hajanilipa licha ya kumkubusha Mara kadhaa
 
kuambiwa huwezi kupata pesa mpaka ufanye usajili ni jambo sahihi maana lina logic ndani yake, huwezi kutoa pesa ya mkopo kwenda kwa mwanafunzi kama hakuna uhakika huyo mwanafunzi ame-report chuo, ingekuwa hivyo vijana wa kihuni wangekuwa wanaomba mkopo kisha kukaa nyumbani wakifaidi pesa na ambao wenye uhitaji wakakosa kwa kupewa mtu asiyekuwa na shida ya kusoma
 
Wakuu naomba Muongozo juu ya hili suala.

Je ni sahihi kwa chuo kuchelewesha hela za wanafunzi kwa kigezo cha lazima wasajiliwe chuoni wakiwa wameshalipa hela ya usajili, wakati miongoni mwa hao wanafunzi wanategemea hela hizo za kujikimu kuendesha maisha na kulipa pesa kama hizo wanazodaiwa hapo chuo.

Na kama sio sahihi ni hatua gani za kufuata?
Kusajiliwa ni lazima mkuu. Uwe mvumilivu au azima pesa kwa mwenzako ili usajiliwe otherwise hautaweza kusaini pesa yako ya kujikimu ( boom )
 
Chuo UDSM bank CRDB mpaka leo empty afu hela ya mfukoni kama inaisha flan
kuwa mpole yote unayopitia sasa na wenzio walipitia tena wewe una-advantage nasikia siku hizi wameanzisha mfumo wakupata pesa mara moja baada ya kusign labda kwakuwa wewe mwaka wa kwanza ndio maana unasumbuka
 
Wakuu naomba Muongozo juu ya hili suala.

Je ni sahihi kwa chuo kuchelewesha hela za wanafunzi kwa kigezo cha lazima wasajiliwe chuoni wakiwa wameshalipa hela ya usajili, wakati miongoni mwa hao wanafunzi wanategemea hela hizo za kujikimu kuendesha maisha na kulipa pesa kama hizo wanazodaiwa hapo chuo.

Na kama sio sahihi ni hatua gani za kufuata?
Mitano Tena
 
Attachments

  • IMG_20200921_190239.jpg
    IMG_20200921_190239.jpg
    25.6 KB · Views: 7
Back
Top Bottom