Elections 2010 Kuchelewesha matokeo ya uchaguzi ni mbinu ya CCM kuchochea macahafuko

Jan 16, 2007
721
176
Inasikitisha kuona ya kwamba CCM na serikali ambayo ilikua inaimiza uchaguzi wa amani.Lakini ni CCM hiyo hiyo inayojenga mazingira ya vurugu kwa kuchelewa kutoa matokeo.Kuwaweka wananchi katika makundi muda mrefu kusubili matokeo ambayo tayari yanafahamika ni kitu kisichovumilika.KUNANINI INATAKA KUKIFANYA CCM MMESHINDWA ONDOKENI KWA AMANI AMANI KWA TANZANIA IKO MIKONONI MWA CCM WATANZANIA HAWADANGANYIKI MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Hili ni jambo la kutia aibu na kinyaa sana. Upigaji kura kote uliisha jana saa kumi jioni. Leo hii hadi saa hizi inakaribia saaa saba za mchana hakuna sehemu ambako matokeo rasmi yameshatangazwa.

Hii typically ni African fasheni. Hivi waafrika tunadhani tutaishi dunia ya wapi?? Hii inatisha kweli kweli, ni bora wakoloni warudi kututawala. Inaonekana waafrika tunafaa kutawaliwa kuliko kujitawala.

Hivi tume ya uchaguzi ni ya nini?? Terrible, disguisting, ....
 
CCM ni magaidi, wabinafsi, wazandiki, hawawajali wananchi, wanapenda maslahi yao, hawaheshimu sauti ya umma, sauti ya watanzania walala hoi.
 
Huku ndo kuhatarisha amani...mbona wao waliposhinda wanatangaza haraka.?
 
kura zisizozidi 500 kwa kila kituo, zinahitaji masaa yote kupata hesabu kamili.kuna wachache hawaitakii amani hii nchi
 
We Acha tu nasema kama wameamua kuwalazimisha watanzania kununua kanyaboya; yatawatokeya puani. Kwa nini tulipiga kura basi si aheri wangesema tukishindwa hatukubali ili wapige wao tu.
 
Siyekubali kushindwa si mshindani.matokeo yakubaliwe na yaheshimiwa no matter what.god bless tznia
 
Naskia Temeke watu wamesha anza kuumizwa. Watu wanang'ang'ania ati hii nchi ya amani. Amani ni kitu gani wala sielewi.
 
Machafuko yanayotokea CCM inabidi wawe responsible na hatuko tayari kuona mwaka huu matokeo yanachakachuliwa tumewachokaaaaaaa!!!! Uongozi wa CCM ni wa kitaila tu. Lazima kielewe.
 
kaka, hao sisi em, wana jua wanachokifanya ,wakijua kwamba si sahihi, na hakuna atakaye kua na uwezo wa kuwa wajibsha. hii nchi ni ya ccm, au we ujui? ni aibu wanayoipata ndio msaaada kwetu, wangeweza kufanya zaidi ya hvyo.
 
Tatizo kumbwa ni siasa za tumbo.Vyama tawala havitaki kuachia madaraka kwasababu wanajua kuwa wangine wakiingia watafichua ufisadi ambao waliundesha.Hivyo ushindi kwao ni lazima na inapoelekea kushindwa wanaanza kutimia vituko mbinu za kuwafanya wananchi wafanya vujo kama unavyoshuhudia sasa.
 
Alaaniwe Kikwete, CCM imefia mikononi mwake sasa anataka na Tanzania iangamie mikononi mwake.I wish Tanzania ingekuwa iko West Africa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom