Chatumkali
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 2,037
- 458
Matokeo ya kozi ya HS 319 hayajatoka hadi sasa na tarehe ya SUPP imeshapita. Kwa wale wenye fununu naomba msaada humu, je, kozi hiyo imefutwa?

Matokeo ya kozi ya HS 319 hayajatoka hadi sasa na tarehe ya SUPP imeshapita. Kwa wale wenye fununu naomba msaada humu, je, kozi hiyo imefutwa?

Thread mbovu zinatoka kwa wanafunzi wa udom. Maswala ya kuongea kwenye simu wanatuletea huku jf. Upuuzi mtupu.

alipoteza simu kwenye mgomo then hakumalizia ada hayo matokeo atayapataje wakati hakufanya hiyo HS yake?
upuuzi sana!!! Hawa vijana sijui vipi mkuu, tukiwaponda wanaanza kuona hatuko sawa!thread mbovu zinatoka kwa wanafunzi wa udom. Maswala ya kuongea kwenye simu wanatuletea huku jf. Upuuzi mtupu.