Kuchelewa kwa matokeo ya mwaka wa tatu UDOM

Chatumkali

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
2,038
458
Matokeo ya kozi ya HS 319 hayajatoka hadi sasa na tarehe ya SUPP imeshapita. Kwa wale wenye fununu naomba msaada humu, je, kozi hiyo imefutwa?

Hili suala lna mchango gan kwa taifa?c mkamalzane wenyewe huko huko jaman..mpaka m2tangazie humu.

Matokeo ya kozi ya HS 319 hayajatoka hadi sasa na tarehe ya SUPP imeshapita. Kwa wale wenye fununu naomba msaada humu, je, kozi hiyo imefutwa?

We c uwapigie cm bwana uwaulize walimu wako au wenzako sasa hyo HS ni nini? Kila m2 akianza kuulizia chuo chake humu na hiyo HS humu ndani tutafika kweli?

Hii ni forum ya great thinkers, lakini siku hizi baadhi ya threads zinakera! Moderaters tafadhali fanyeni kazi yenu.

mimi mwanafunz wa udom but taarifa zote za chuo zinakua published web ya chuo sjaelewa why wauliza huku jf, then we si uligoma? Mtihani wako ukawa postponed so why wataka matokeo mapema

hvi hawa watto wa Udom chuo hakina website..................namaba ya simu ya prof KIKULA hana???

Hawa ndo wanaofanya udom idharaulike..ishu ka hz mnamalzana wenyewe bana.

alipoteza simu kwenye mgomo then hakumalizia ada hayo matokeo atayapataje wakati hakufanya hiyo HS yake?

udom wanazidi kuiharibu jf.

thread mbovu zinatoka kwa wanafunzi wa udom. Maswala ya kuongea kwenye simu wanatuletea huku jf. Upuuzi mtupu.
upuuzi sana!!! Hawa vijana sijui vipi mkuu, tukiwaponda wanaanza kuona hatuko sawa!

Hawa ndo wanamaliza nafsi za post za maana.Nenda chuoni au piga simu kwa dean wa faculty yako au Department yako .Acha uchovu

Jamaa kauliza kwa nia nzuri kabisa, sasa hizi chuki juu ya UDOM zinatoka wapi! Hebu acheni chuki za ki' upuuzi.

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom