yotekheri
Member
- Feb 16, 2010
- 10
- 0
Habari wana JF,
Mimi ni msichana ambaye nimeanza mahusiano muda mrefu kidogo,ila tatizo nalopata kwa mwenza wangu ni kwamba anachelewa kufika kileleni kiukweli nainjoy round ya kwanza lakini tukiendelea mhh si chini ya dk 45 mpaka 50 on top.
Na pengine asi score pls kwa yeyote anaweza kutoa msaada kwani nampenda na sitaki kumuacha kwa ajili ya tatizo hilo