Kuchelewa kufika kileleni

yotekheri

Member
Feb 16, 2010
10
0
Habari wana JF,

Mimi ni msichana ambaye nimeanza mahusiano muda mrefu kidogo,ila tatizo nalopata kwa mwenza wangu ni kwamba anachelewa kufika kileleni kiukweli nainjoy round ya kwanza lakini tukiendelea mhh si chini ya dk 45 mpaka 50 on top.

Na pengine asi score pls kwa yeyote anaweza kutoa msaada kwani nampenda na sitaki kumuacha kwa ajili ya tatizo hilo
 
hilo si tatizo ww wa wapi wenzako wanapenda hivyo ndo injoiment yenyewe akiwai utosikia utamu ww
 
Acha ujinga Bibie,
Wenzio tuaombea wanaume wetu wawe kama wako we unafikiria kumuacha?

NikuPM unipe contact zake? Please kabla hujamuacha mkonect na some JF members wanaohitaji huduma ya muda mrefu.

Some men i have been with wanachukua dakika 2 maximum na tena hakuna round ya marudio.

Ukimuacha utajuta nakwambia. He is a gold mine!!
 
Habari wana JF,

Mimi ni msichana ambaye nimeanza mahusiano muda mrefu kidogo,ila tatizo nalopata kwa mwenza wangu ni kwamba anachelewa kufika kileleni kiukweli nainjoy round ya kwanza lakini tukiendelea mhh si chini ya dk 45 mpaka 50 on top.

Na pengine asi score pls kwa yeyote anaweza kutoa msaada kwani nampenda na sitaki kumuacha kwa ajili ya tatizo hilo

cheki na serdi zingine hapa hiyo mada utaiona. ila kifupi hilo sio tatizo, ndomchezo wenyewe huo!
 
Ila kwakuwa umesema ndio umeanza mambo ya kuput in siwezi kukulaumu...ila akichelewa ndio raha yenyewe...je na wewe unawahi sana kufika kilelelni au??? ongeza utundu afike haraka angalau dk 10...
 
Lahaula! Wa hapa hapa weye? Au.... mamluki!!!!!!!!? Usimwache - huo ndy ushauri wangu! N pliiz, badili style basi, c kila saa yeye juu kama ulivyosema.
 
ukweli huyu ni mvivu tu inabidi tafuta msichana mwenzako ili awahudumie wote
 
Unajua wakati mwingine mademu hunishangaza sana. Kuna demu mmoja hivi nilikuwaga nammega. Eti alikuwa anadai kuwa simwoni kuwa attractive kwa sababu kila nikimmega nilikuwa nachukua muda sana kukojoa.

Katika akili yake eti kama mwanamme kamzimia demu na anamwona huyo demu anavutia basi jamaa hatakawia kukojoa. Sasa mimi nikawa najiuliza...mmmh hawa mademu ukikojoa haraka wanalalamika...ukikawia nako wanalalamika. Sasa sijui mtu ufanye nini? Nikaja kugundua kuwa kuridhisha mademu ni kazi ngumu sana na pengine isiyowezekana kabisa.
 
hapo panahusika.......ulikuwa. siku hizi hummegi tena?
 
Wanawake wanatofautiana kama vile ambavyo wanaume wanatofautiana katika ladha na haja za mapenzi.

Kama vile baadhi ya wanaume wanavyopenda kukatiwa viuno, kuvaliwa shanga, wengine wanahitaji mwanamke atulie kama gogo au alale usingizi ndio wafurahie mapenzi. Pia wanawake wapo wanaopenda quickie, wanaopenda vya muda mrefu, wapo wanaopenda bao moja tu, wapo wanaotaka mabao kumi, wanaopenda kutongozwa na wasiopenda, wanaopenda kutoka na wanaume zao na wasiopenda hivyo n.k.

Tunakosea tunapogeneralise hisia za wanawake kwenye mapenzi.

Mleta mada, kama unataka aje mapema kuna njia mbalimbali ambazo nazo ufanisi wake unatofautiana toka kwa mwanaume mmoja hadi mwingine. Mojawapo ni kujua mahali anapokunika zaidi huyo mwenzi wako.
 
Habari wana JF,

Mimi ni msichana ambaye nimeanza mahusiano muda mrefu kidogo,ila tatizo nalopata kwa mwenza wangu ni kwamba anachelewa kufika kileleni kiukweli nainjoy round ya kwanza lakini tukiendelea mhh si chini ya dk 45 mpaka 50 on top.

Na pengine asi score pls kwa yeyote anaweza kutoa msaada kwani nampenda na sitaki kumuacha kwa ajili ya tatizo hilo

Huyo atakuwa anatumia Al rijaal,ndio maana anatumia muda mwingi hivyo kufika kileleni,ni abnormal kuchelewa kwa muda mrefu hivyo kama kweli ni nguvu ya damu!!
 
Yawezekana game yako si attractive ndo maana anakawia sana kumaliza, na pia styles zinachangia, hebu siku moja mpe mambo ya reli uone kama atakawia! Ikishindikana basi jaribu japo tigo, ukiona kafikisha kama nusu saa hivi hamisha idhaa weka uarabuni!
 
Habari wana JF,

Mimi ni msichana ambaye nimeanza mahusiano muda mrefu kidogo,ila tatizo nalopata kwa mwenza wangu ni kwamba anachelewa kufika kileleni kiukweli nainjoy round ya kwanza lakini tukiendelea mhh si chini ya dk 45 mpaka 50 on top.

Na pengine asi score pls kwa yeyote anaweza kutoa msaada kwani nampenda na sitaki kumuacha kwa ajili ya tatizo hilo

labda unampa kifo cha mende tu. Mtafute dina au diva (wote wa clouds) au tembelea blogs zao watakupa tips za ku do. Pia jiweke kimahaba kwa sana. Mruhusu pia jamaa kugusa maeneo hatari
 
Yawezekana game yako si attractive ndo maana anakawia sana kumaliza, na pia styles zinachangia, hebu siku moja mpe mambo ya reli uone kama atakawia! Ikishindikana basi jaribu japo tigo, ukiona kafikisha kama nusu saa hivi hamisha idhaa weka uarabuni!

allah akbar!:confused:
 
Unajua wakati mwingine mademu hunishangaza sana. Kuna demu mmoja hivi nilikuwaga nammega. Eti alikuwa anadai kuwa simwoni kuwa attractive kwa sababu kila nikimmega nilikuwa nachukua muda sana kukojoa.

Katika akili yake eti kama mwanamme kamzimia demu na anamwona huyo demu anavutia basi jamaa hatakawia kukojoa. Sasa mimi nikawa najiuliza...mmmh hawa mademu ukikojoa haraka wanalalamika...ukikawia nako wanalalamika. Sasa sijui mtu ufanye nini? Nikaja kugundua kuwa kuridhisha mademu ni kazi ngumu sana na pengine isiyowezekana kabisa.

sio kazi ngumu. Ukimkojolesha, hata ukachukua 30sec kifuani pake wala hatauliza
 
Acha ujinga Bibie,
Wenzio tuaombea wanaume wetu wawe kama wako we unafikiria kumuacha?

NikuPM unipe contact zake? Please kabla hujamuacha mkonect na some JF members wanaohitaji huduma ya muda mrefu.

Some men i have been with wanachukua dakika 2 maximum na tena hakuna round ya marudio.

Ukimuacha utajuta nakwambia. He is a gold mine!!
mmmh, Caren at work. stuka yotekheri, stuka!
 
Back
Top Bottom