Kuchelewa Kuanza Hedhi

Vipi binti yetu ameshafanikiwa kuvunja ungo au mambo bado magumu?
Tatizo lake ni very serious kuliko tulivyokuwa tunadhani! Hatukuwa tumeambiwa ukweli, kumbe suala la kutokuwa na hedhi ni matokeo tu ya tatizo kuu!
 
Daah! Kwa hiyo tatizo halijapata tiba mpaka leo mkuu?
Yap! Bado, kwa sababu kama nilivyosema, awali hatukupewa taarifa sahihi kwahiyo tatizo lake la msingi sio kutopata hedhi bali hiyo kutopata hedhi ni sehemu tu ya tatizo la msingi ambalo naona ukakasi hata kulizungumzia! Lakini uzuri ni kwamba, mwenyewe inaelekea ni kama ameshakubali alivyoumbwa na anaendelea na maisha yake!
 
Dumb.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom