Kuchelewa Kuanza Hedhi

Wakuu Salaam!

Hapa home kuna issue tata kidogo! Kuna msichana ana umri wa miaka 18 na anakaribia miaka 19 hivi sasa! Ukimuona ana afya njema na haoneshi dalili yoyote ya upungufu wa kitu fulani mwilini! Sio tu kwamba anaonekana ana afya njema lakini amekuwa vizuri kwa sababu, usipomwangalia usoni na kugundua uso wake wa kitoto, unaweza kuamini amefikisha hata miaka 23 kwa jinsi alivyoenda hewani na mwili uliojengeka vema!!

Pamoja na yote hayo, huyu binti hadi sasa hajaanza kuingia hedhi!!

Ninachoomba kufahamu ni:

1. Je, hii inaweza kuwa ni hali ya kawaida pamoja na umri wote huo?
2. Kama si hali ya kawaida, hii hali inatokana na nini na tiba yake ni nini?!

Natanguliza shukrani zangu kwenu!
Ushamtia mimba mtoto wa watu,jiandae kulea au kwenda gerezani!! Pole sana,ndo maisha lakini
 
Ok! Ok! Sasa kama nimekuelewa hivi! Unaposema Sayansi ya Jamii bila shaka unamaanisha Sayansi ya Kiafrika yenye uwezo wa kuzuia mvua isinyeshe au kupiga radi mchana wa jua kali; au?!
Ndio Mkuu.....

Mbona kawaida sana iyo michezo.....hedhi inazuiwa kutoka kabisa ila siku ikiachiwa mbona atajuta mama kila siku itakua inamiminika kufidia....

Fanya background cheki ya familia yenu...
Ila again kabla ya kuanza kutumia madawa makali ya hospitalini....

Jirizisheni kwenye Sayansi ya Jamii...nendeni Kanda ya Ziwa huko ambako mamba anammeza mtu akiwa anaona bafuni kwenye karai kuna wataalam wazuri wa izo fani..

Ila mm binafsi naamini ni Sayansi ya Jamii tu hapo ingekua ni ugonjwa wa hospitalini ungekuta umeambatana na dalili za kihospitali
 
Sema Mkuu me naona hakijaaribika kitu tuseme kua labda atakuja kukosa mume mana wengi hatupendi mambo za Period...

Indeed inaweza kua bahati tena akipata mume muislamu maana waislamu wanaambiwa wakifika peponi watapewa na Allah mwanamke 'mswafi' yani 'mswafi' ni ambaye HANYI wala hapati HEDHI!....

Kwaiyo bado ni habari njema.

Apo cha msingi acheki tu kama anaweza kupata mimba ama laah kama anaweza basi inshallaah hedhi sio lazima!

Maana inawezekana hapati hedhi ila kama tunavyojua ya Mungu mengi ya Kuku mayai kukawa na manuva fulani ya kupata bao!
Pumb.. A. Vu
 
Umemuelewa lakini??
Kabisa mkuu,jinga sana hilo jamaa!! Utajuaje binti kama haingii hedhi kama huko karibu nae kimapenzi???
Haha mkuu hawa ndo wale wasenge sasa uliokua unawaongelea
Mkuu tuwiane radhi! The problem ni kwamba, hili jukwaa lina watu wajinga sana wasioona aibu kuleta ujinga hata kwenye serious issues! Sometimes usipotuliza kichwa, inakuwa ngumu kutofautisha kati ya alieamua kufanya ujinga kwa maana ya ujinga kama alivyo huyu hapa: Au yule unayedhani amefanya ujinga kumbe hakuwa na nia mbaya!
Nimekuelewa bro ila sijaona sababu ya kuitana wasenge badala ya kueleweshana kawaida.
Siwezi kujibu maswli ya kisen'ge
 
Ushamtia mimba mtoto wa watu,jiandae kulea au kwenda gerezani!! Pole sana,ndo maisha lakini
Pole kwa kuwa na akili fupi kiasi kwamba unashindwa hata kuelewa tofauti kati ya kuchelewa kuanza hedhi na kutopata hedhi!
 
Ndio Mkuu.....

Mbona kawaida sana iyo michezo.....hedhi inazuiwa kutoka kabisa ila siku ikiachiwa mbona atajuta mama kila siku itakua inamiminika kufidia....

Fanya background cheki ya familia yenu...
Ila again kabla ya kuanza kutumia madawa makali ya hospitalini....

Jirizisheni kwenye Sayansi ya Jamii...nendeni Kanda ya Ziwa huko ambako mamba anammeza mtu akiwa anaona bafuni kwenye karai kuna wataalam wazuri wa izo fani..

Ila mm binafsi naamini ni Sayansi ya Jamii tu hapo ingekua ni ugonjwa wa hospitalini ungekuta umeambatana na dalili za kihospitali
Mnh!! Mkuu unanitisha ujue ingawaje mchango wako huu unanipa umuhimu wa kuliangalia hili suala kwa mapana na marefu
 
Kabisa mkuu,jinga sana hilo jamaa!! Utajuaje binti kama haingii hedhi kama huko karibu nae kimapenzi???
Ulivyo juha, umeshindwa kabisa kufahamu kwamba anawaongelea watu dizaini yako!

Wenye akili zao wameanza kusoma na kuelewa mada na sio majuha dizaini yako waliokurupuka kuchangia kwa kusoma heading
 
Mnh!! Mkuu unanitisha ujue ingawaje mchango wako huu unanipa umuhimu wa kuliangalia hili suala kwa mapana na marefu
Mbona iyo michezo ya kawaida kawaida sana Mkuu....

wengine wanapigwa vice versa yani yeye hedhi mwanzo mwisho kila siku kuvaa pedi tuu yanii mwaka mzima....

Iyo sio ishu ya hospitali ndo mana nimekushauri kabla ya kuanza kutumia dawa za hospitali au operesheni jaribuni sayansi ya jamii...

Zaidi fanya research kama unawajua wenyeji wa kanda ya ziwa hasa usukumani au kigoma wanaweza kukupa details zaidi mana huko ndo michezo yao......
 
Kwa mara ya kwanza nimetukanwa humu leo.

Poa mkuu.Swali langu lililenga kutaka kujua kama ameota maziwa na nywele za siri ila hedhi hana.Au pengine hana vyote.Umeishia kunitukana.

I pray that huyo msichana kama ni ugonjwa apone.
Pole kwa kutukanwa
 
Wakuu Salaam!

Hapa home kuna issue tata kidogo! Kuna msichana ana umri wa miaka 18 na anakaribia miaka 19 hivi sasa! Ukimuona ana afya njema na haoneshi dalili yoyote ya upungufu wa kitu fulani mwilini! Sio tu kwamba anaonekana ana afya njema lakini amekuwa vizuri kwa sababu, usipomwangalia usoni na kugundua uso wake wa kitoto, unaweza kuamini amefikisha hata miaka 23 kwa jinsi alivyoenda hewani na mwili uliojengeka vema!!

Pamoja na yote hayo, huyu binti hadi sasa hajaanza kuingia hedhi!!

Ninachoomba kufahamu ni:

1. Je, hii inaweza kuwa ni hali ya kawaida pamoja na umri wote huo?
2. Kama si hali ya kawaida, hii hali inatokana na nini na tiba yake ni nini?!

Natanguliza shukrani zangu kwenu!
Vipi binti yetu ameshafanikiwa kuvunja ungo au mambo bado magumu?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom