Stanley Mitchell
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 4,576
- 4,060
Sure mkuu tuweke utani pembeni...Hahahaha!!
Naamini hata wanawake wenyewe wanaichukia hiyo MP lakini kwavile ni jambo la kiasili au pengine la kibaiolojia kwa mwanamke kupata period, basi asipopata lazima iwe alarming! Unaweza kupuuzia kumbe mtu ana medical problem na hadi mnakuja kushituka, inakuwa too late kwa sababu tu mlipuuzia yale yasiyo ya kawaida!
Kama mtalaamu hatajitokeza hapa...basi anza na google ni mwalimu mzuri...upate ideas mbili tatu then nenda kwa hawa mabingwa wa medicine usikie wanasemaje...
Then sasa mfuate busara za Jakaya Kikwete kua akili za kuambiwa na mabingwa, changanyeni na za kwenu na zile za google....
Kama kweli wanasema "only the Sky is the Limit" basi nina uhakika hakuna litakaloshindikana ....
Kila la kheri!