Kuchelewa Kuanza Hedhi

Hahahaha!!

Naamini hata wanawake wenyewe wanaichukia hiyo MP lakini kwavile ni jambo la kiasili au pengine la kibaiolojia kwa mwanamke kupata period, basi asipopata lazima iwe alarming! Unaweza kupuuzia kumbe mtu ana medical problem na hadi mnakuja kushituka, inakuwa too late kwa sababu tu mlipuuzia yale yasiyo ya kawaida!
Sure mkuu tuweke utani pembeni...

Kama mtalaamu hatajitokeza hapa...basi anza na google ni mwalimu mzuri...upate ideas mbili tatu then nenda kwa hawa mabingwa wa medicine usikie wanasemaje...

Then sasa mfuate busara za Jakaya Kikwete kua akili za kuambiwa na mabingwa, changanyeni na za kwenu na zile za google....

Kama kweli wanasema "only the Sky is the Limit" basi nina uhakika hakuna litakaloshindikana ....

Kila la kheri!
 
Nimekuelewa bro ila sijaona sababu ya kuitana wasenge badala ya kueleweshana kawaida.
Mkuu tuwiane radhi! The problem ni kwamba, hili jukwaa lina watu wajinga sana wasioona aibu kuleta ujinga hata kwenye serious issues! Sometimes usipotuliza kichwa, inakuwa ngumu kutofautisha kati ya alieamua kufanya ujinga kwa maana ya ujinga kama alivyo huyu hapa:
Kama ni wewe weka picha tukuone, kama jirani yako namba yake ya simu uweke hapa
Au yule unayedhani amefanya ujinga kumbe hakuwa na nia mbaya!
 
Sema Mkuu me naona hakijaaribika kitu tuseme kua labda atakuja kukosa mume mana wengi hatupendi mambo za Period...

Indeed inaweza kua bahati tena akipata mume muislamu maana waislamu wanaambiwa wakifika peponi watapewa na Allah mwanamke 'mswafi' yani 'mswafi' ni ambaye HANYI wala hapati HEDHI!....

Kwaiyo bado ni habari njema.

Apo cha msingi acheki tu kama anaweza kupata mimba ama laah kama anaweza basi inshallaah hedhi sio lazima!

Maana inawezekana hapati hedhi ila kama tunavyojua ya Mungu mengi ya Kuku mayai kukawa na manuva fulani ya kupata bao!
Hehe yaan hyo kupata ni muhimu sana..sidhan mimba itaingia bila kupaya hedhi
 
Sure mkuu tuweke utani pembeni...

Kama mtalaamu hatajitokeza hapa...basi anza na google ni mwalimu mzuri...upate ideas mbili tatu then nenda kwa hawa mabingwa wa medicine usikie wanasemaje...

Then sasa mfuate busara za Jakaya Kikwete kua akili za kuambiwa na mabingwa, changanyeni na za kwenu na zile za google....

Kama kweli wanasema "only the Sky is the Limit" basi nina uhakika hakuna litakaloshindikana ....

Kila la kheri!
Mkuu, kabla ya kuja hapa nisha-Google sana na kupata maelezo ya kutosha!! Kilichonileta hapa ni kwavile naamini mazingira nayo yanaweza kuathiri baadhi ya mambo, hususani ya kibaolojia! Sasa nilitaka kupata local experience
 
Mkuu tuwiane radhi! The problem ni kwamba, hili jukwaa lina watu wajinga sana wasioona aibu kuleta ujinga hata kwenye serious issues! Sometimes usipotuliza kichwa, inakuwa ngumu kutofautisha kati ya alieamua kufanya ujinga kwa maana ya ujinga kama alivyo huyu hapa: Au yule unayedhani amefanya ujinga kumbe hakuwa na nia mbaya!
Poa mkuu.
 
Ni kawaida mtoto wa kike kuchelewa au kuwahi kuona mwezini ila ni muhimu sana akienda hospitali kuonana na doctor!
Yah! Walienda hospitali lakini naona wamepewa jibu jepesi mno! Kabla ya kuja hapa, nilianza ku-Google sources mbalimbali! According to hizi sources, hata 16 years bila hedhi ya kwanza inakuwa described kama sio jambo la kawaida! Sasa vipi kuhusu almost 19 years!

Anyway, nilikuja hapa kupata local experience; kwamba, inawezekana kwa Ulaya na Marekani, 16 years sio jambo la kawaida kumbe huku kwetu, isije kuwa hata 21 nayo ni kawaida!!!
 
Hehe yaan hyo kupata ni muhimu sana..sidhan mimba itaingia bila kupaya hedhi
Mkuu ndo mana nikasema ya Mungu Mengi japo sio Reginald na Ya Kuku ni Mayai.....mbona Yesu alizaliwa na Mwanamke Bikraa???????

So kama Mungu kamnyima hedhi labda kuna manuva mbadala ya kupata mimba!
 
Yah! Walienda hospitali lakini naona wamepewa jibu jepesi mno! Kabla ya kuja hapa, nilianza ku-Google sources mbalimbali! According to hizi sources, hata 16 years bila hedhi ya kwanza inakuwa described kama sio jambo la kawaida! Sasa vipi kuhusu almost 19 years!

Anyway, nilikuja hapa kupata local experience; kwamba, inawezekana kwa Ulaya na Marekani, 16 years sio jambo la kawaida kumbe huku kwetu, isije kuwa hata 21 nayo ni kawaida!!!
Au ajaribu tiba mdabala kama hospitali wanasumbua?

Sijekua amelogwa asipate hedhi mkuu...kuna watu hawana maana mkuu

Mana kuna jamaa alilogwa akawa hanyi kabisa mkuu
 
Kama ni dada yake anaweza kujua,mimi dada zangu huwa wananieleza kila kitu kuhusu afya zao za uzazi na huwa natoa msaada fasta!
Nadhani watu tunalelewa tofauti sana! Kuna siku nilimtembelea mshikaji; yaani unaambiwa mshua na mamake wanapiga vita vibaya sana matangazo ya taulo za kike kwenye tv kwamba ni aibu! So, kwa familia ya aina hii, siwezi kushangaa hayo yaliyosemwa na akina Lukungano1
 
Hahaaa! Anyway, Bi Mdashi atampeleka hospitali nyingine ili tulinganishe findings!
Good idea sema asianze matibabu mapema bola kujirizisha kama SAYANSI YA JAMII haihusiki maana ukianza SAYANSI ya kisasa wakati ni ishu za SAYANSI YA JAMII...experience inaonesha huwezi kupona tena...

So hii ishu ni serious sana...angalieni sayansi zote mbili ya KISASA na ya JAMIII!
 
Baadhi ya online sources zinasema anaweza kupata mimba cuz' kupata mimba is all about healthy ovulution or something like that!
Hata mm naamini ivo kabisa kupata mimba inawezekana ila hapo kwa haraka haraka inaonekana ni mambo ya sayansi ya jamii....

Ndo mana hospitalini mlivoenda mara ya kwanza wakaona chenga chenga tu....
 
Tatizo mwenye tatizo ni mwingine, nikuambie tu ndio yaweza kuwa kawaida lakini kwa umri huo ni nadra sana, apelekwe tu hospitali au hata kuulizia kwa madaktari au manesi wazoefu.
Ni hatari sana kwa mwanamke kufikia umri wa kupata hedhi na asipate au apitishe miezi mingi kavu, narudia ni hatari vya afya yake.
Apate msaada wa kitabibu atakaombatana na uchunguzi.
 
Good idea sema asianze matibabu mapema bola kujirizisha kama SAYANSI YA JAMII haihusiki maana ukianza SAYANSI ya kisasa wakati ni ishu za SAYANSI YA JAMII...experience inaonesha huwezi kupona tena...

So hii ishu ni serious sana...angalieni sayansi zote mbili ya KISASA na ya JAMIII!
Ok! Ok! Sasa kama nimekuelewa hivi! Unaposema Sayansi ya Jamii bila shaka unamaanisha Sayansi ya Kiafrika yenye uwezo wa kuzuia mvua isinyeshe au kupiga radi mchana wa jua kali; au?!
 
Tatizo mwenye tatizo ni mwingine, nikuambie tu ndio yaweza kuwa kawaida lakini kwa umri huo ni nadra sana, apelekwe tu hospitali au hata kuulizia kwa madaktari au manesi wazoefu.
Ni hatari sana kwa mwanamke kufikia umri wa kupata hedhi na asipate au apitishe miezi mingi kavu, narudia ni hatari vya afya yake.
Apate msaada wa kitabibu atakaombatana na uchunguzi.
Shukurani kwa ushauri wa kitabibu!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom