Kuchapiwa

Al-shabaab

JF-Expert Member
Aug 24, 2013
1,791
617
Huwanajiuliza sana kwa nini mwanamme akichapiwa mke/mpenzi wake huwa anaumia sana
tofauti na mwanaume akitembea na mwanamke mwingine mwanamke huwa anachukulia poa tu?
hapa inamaanisha mwanamke anathaminiwa sana na mwanaume tofauti na jinsi mwanamke anayomthamini mwanaume.,
 
Huwanajiuliza sana kwa nini mwanamme akichapiwa mke/mpenzi wake huwa anaumia sana
tofauti na mwanaume akitembea na mwanaume mwingine mwanamke huwa anachukulia poa tu?
hapa inamaanisha mwanamke anathaminiwa sana na mwanaume tofauti na jinsi mwanamke anayomthamini mwanaume.,

Are you serious??You got be kiding
 
Mwanamke anachukulia poa kama mwanaume akitembea na mwanaume mwingine? Hebu jaribu uone!! navyojua mimi, mwanamke akigundua jamaayake anashugulikiwa, hiyo ni unforgivable sin!
 
Back
Top Bottom