#COVID19 Kuchanja sasa kuwe lazima, hasa wafanyakazi serikalini. Chanja au achia ngazi

Sasa inabidi Serikali ichukue uamuzi mgumu juu ya chanjo.
Wafanyakazi Serikalini lazima wachanje, au waachie ngazi kutazama afya zao.
Tutavaa barakoa hadi lini?

Tatizo kubwa ni hao wa Gwajima, wasiotaka kuchanja na ndio kwa kiasi kikubwa wanaeneza Covid katika jamii.

Ni jambo la kusikitisha vifo vya hivi karibuni familia ya Hanspoppe, kuna waliokataa kuchanja, mauti imewatembelea.

Imefika muda tusicheze na hili janga.
Kwa hiyo hata hans pop alikataa chanjo?
 
Tatizo ni Hata Ukichanja:-

1. Barakoa lazima uendelee kuvaa
2. Lazima Kunawa
3. Lazima Social Distance
4. Kuambukizwa kuko palepale

Huna tofaut na asiyechanjwa
 
Tatizo ni Hata Ukichanja:-

1. Barakoa lazima uendelee kuvaa
2. Lazima Kunawa
3. Lazima Social Distance
4. Kuambukizwa kuko palepale

Huna tofaut na asiyechanjwa
Hizo ni kanuni za afya ambazo toka ukoloni zipo.
Vijana wa sasa wanaona ni mpya.
Kule Asia barakoa hata kabla ya covid zinavaliwa sana.
 
Ukichanja bado utapata maambukizi na utaendelea kuambukiza wengine, chanjo ni dili la mabeberu nashangaa bado watu kama nyinyi hamjashtukia mchezo, it is purely business.....
Sayansi ya kuchanja imekupita kwa mbali, bado una upupu wa Gwajima kichwani.
 
We Chidu La acha unafiki asee, unataka kuaminisha hans amepigwa na Covid tuwe na hisia za hofu basi, hii tabia ya watu maarufu wakifariki mnasingizia corona, mbaya zaidi hampingi hiyo mikusanyiko kwa hao waliofariki kwa Covid.

😨UNAFIKI!.

Tatizo Pope alikiri mwenyewe...
 
Sasa inabidi Serikali ichukue uamuzi mgumu juu ya chanjo.
Wafanyakazi Serikalini lazima wachanje, au waachie ngazi kutazama afya zao.
Tutavaa barakoa hadi lini?

Tatizo kubwa ni hao wa Gwajima, wasiotaka kuchanja na ndio kwa kiasi kikubwa wanaeneza Covid katika jamii.

Ni jambo la kusikitisha vifo vya hivi karibuni familia ya Hanspoppe, kuna waliokataa kuchanja, mauti imewatembelea.

Imefika muda tusicheze na hili janga.
Acha usenge wee jamaa.
I can assure you that.covid-19 is not a big threat in Tanzania and other African countries as its portrayed by idiotic westernized people and their Allies.
Ni ujinga kutengeneza Deni kingine la nchi kwa tatizo fake lenye milengo ya kuuza chanjo na vitendanishi.
Japo mzungu na mwafrica wapo katika species moja but our genes expression towards diseases May differ.
Tumieni akili zenu Jamani
 
Pia kuna waliochanjwa wengi wana hofu hawajui nini kitawapata hapo baadae,wanataka kushinikiza wote wachanjwe ili kama kuna madhara yasiwapate peke yao,hii ni roho mbaya na ya kichawi.
Ikumbukwe hii chanjo siyo ya kwanza zipo zizilizotangulia, Kwenye zilizotangulia,ukishampa taarifa jirani yako basi
unaendelea na maisha suala la ataenda kuchanjwa au la hatufuatilii,jiulize hii mbona wakishachanjwa wanataka na wewe uende hata kama ni kwa lazima?
We mjinga mimi nimechanja, tena wakati bado ni hiari.

Msio na upeo wa kufikiri mbali zaidi ya pua zenu mnashindwa kudadavua mambo basic kabisa.
Marekani ya watu milioni 300, karibia milioni 150 tayari wamechanja.
Uingereza ya watu milioni 68, tayari milioni 48 wamechanja.
sitegemei hao watu kufa kesho wala keshokutwa wala miaka 10 ijayo.
Hii ndiyo faida ya watu waliosoma na kuelewa.

Sasa ninyi vilaza wa kutoka vijijini juzi mmeaminishwa kujifukiza, hata sayansi kwenu ni uchawi.
Taabu kwer kwer!
 
Nyie watu miosoma na kuwa half cooked mna matstizo ya kufikiri.
Sima tena bandiko langu ulielewe.
watu weusi ni wa ajabu sana, wengi huamini mawazo ya mzungu ndo final kwa kila kitu na hiki ndo kimetufanya tubaki nyuma miaka yote.

siku za nyuma nilipinga sana approaches za magufuli dhidi ya covid ila baadae ndo zimekuja onekana ndo approaches nzuri dhidi ya corona na hata wazungu wenyewe wamezitumia.

tuacheni kuwa watumwa kifikra hata sisi tunaweza kua source ya kutatua jambo lolote duniani bila kumtegemea mzungu maana tofauti yetu na wao ni rangi tu.
 
Sasa inabidi Serikali ichukue uamuzi mgumu juu ya chanjo.
Wafanyakazi Serikalini lazima wachanje, au waachie ngazi kutazama afya zao.
Tutavaa barakoa hadi lini?

Tatizo kubwa ni hao wa Gwajima, wasiotaka kuchanja na ndio kwa kiasi kikubwa wanaeneza Covid katika jamii.

Ni jambo la kusikitisha vifo vya hivi karibuni familia ya Hanspoppe, kuna waliokataa kuchanja, mauti imewatembelea.

Imefika muda tusicheze na hili janga.
Hata ukachanja kifo kipo pale pale,kwani tarehe ya kutokea wewe kifo haijui gwajima wala watengeneza chanjo) KIUFUPI UPO TUMBONI KWA MAMA YAKO UTAANDIKA MAMBO MANNE RIDHIKI YAKO.
AJALI(KIFO
KAMA MWEMA
KAMA MBAYA...

TUSILETEANE KAULI YA KUSEMA USIPOCHANJA UTAKUFA AO TUTAEPUSHA VIFO...

WALIOCHANJA PIA WAMEKUFA
 
Hizo ni kanuni za afya ambazo toka ukoloni zipo.
Vijana wa sasa wanaona ni mpya.
Kule Asia barakoa hata kabla ya covid zinavaliwa sana.
Kule unakosema mafua yanawasumbua sana, jambo ambalo hamjui magonjwa mengi ya mfumo wa upumuaji siyo tatizo kwa nchi zetu kutokana na kinga ya asili iliyojengwa kwa miaka lukuki. Kulinganisha kinga ya ngozi nyeusi na nyeupe ni sawa na kulinganisha kuku wa kienyeji na wale wa kizungu, hivyo hivyo hata kwa mbwa wa kizungu na hawa mbwa wetu wa kiswahili......tofauti zao za kuhimili magonjwa na hali ngumu ya mzingira ni kubwa mnoo, haya endeleeni kucheza ngoma ya mabeberu.....
 
Kufa Tutakufa Tu Ndugu Zangu
Tunatishana Mno Mara Oops Vigogo Wapukutika Ni Uzushi Mtupu. Ndugu Zangu Tumtangulize Mungu
COVID 19 Ni Pepo
By Jiwe
 
We mjinga mimi nimechanja, tena wakati bado ni hiari.

Msio na upeo wa kufikiri mbali zaidi ya pua zenu mnashindwa kudadavua mambo basic kabisa.
Marekani ya watu milioni 300, karibia milioni 150 tayari wamechanja.
Uingereza ya watu milioni 68, tayari milioni 48 wamechanja.
sitegemei hao watu kufa kesho wala keshokutwa wala miaka 10 ijayo.
Hii ndiyo faida ya watu waliosoma na kuelewa.

Sasa ninyi vilaza wa kutoka vijijini juzi mmeaminishwa kujifukiza, hata sayansi kwenu ni uchawi.
Taabu kwer kwer!
Futa kauli yako ya kusema hutegemei kufa kesho ao keshokutwa ao miaka kumi...!
HAKUNA ANAEJUA SIRI YA KIFO HILO NI FUMBO( UCHENJE USICHENJE SIKU YAKO IKIFIKA UTAONDOKA TU HATA BILA HIYO QORONA
 
Sasa inabidi Serikali ichukue uamuzi mgumu juu ya chanjo.
Wafanyakazi Serikalini lazima wachanje, au waachie ngazi kutazama afya zao.
Tutavaa barakoa hadi lini?

Tatizo kubwa ni hao wa Gwajima, wasiotaka kuchanja na ndio kwa kiasi kikubwa wanaeneza Covid katika jamii.

Ni jambo la kusikitisha vifo vya hivi karibuni familia ya Hanspoppe, kuna waliokataa kuchanja, mauti imewatembelea.

Imefika muda tusicheze na hili janga.

Mambo ya ajabu sana haya. Wewe hujui wafanyakazi wa serikali ni pamoja na majeshi yote? Kwa nini mlazimishie wafanyakazi wa serikali chanjo, wao si sehemu ya Watanzania? Tume iliyo mshauri Mh Rais ili weka kigezo cha chanjo iwe ni hiari kwa vile walikuwa na karama ya hikima ndani yao. Mh Rais kesha sema mara kadha wa kadha chanjo ni hiari. Huko gine Wanajeshi wanafundisha wanafunzi na AK 47 mgongoni je mnahamu na hayo yatokee Tanzania?
 
Vita ya waliochanja na wasiochanja inaanza ila kuna kundi moja linajiamini msiniulize ni kundi gani.
Jiulize kwa nini mataifa ya nje yanaisemea vizuri Tz wakati waliochanja ni chini ya laki 4 kati ya milioni 60. Neno LAZIMA halifai kwenye huu uzi labda ile fomu ifutwe sentensi ya kwamba Serikali haitahusika na madhara yatakayojitokeza hapo baadae. Ukisema iwe lazima ni sawa na kulazimisha watu wavute sigara wakati imeandikwa uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako ila kuvuta ni hiari.
 
Hiyo ni roho ya kichawi. Sijuih unakeleka na nani kuhus Chanjo. Waambie Serikali Chanjo lazima kwa wafanyakazi waone kitakacho tokea uchaguzi ujao utakuwa waliochanjwa dhidi ya watu ambao hawajachanjwa
 
Manesi huko New York wameambiwa kama mtu hajachanjwa asikanyage kazini kimzaha mzaha watu wamegoma na kazini hawajaenda. Sasa wanna uhaba wa manesi moja wamepandisha dau la kulipa USD 10k kwa wiki kwa manesi wanaotaka kazi.

Point yangu hapa kila kitu kina madharau take.
 
Acha usenge wee jamaa.
I can assure you that.covid-19 is not a big threat in Tanzania and other African countries as its portrayed by idiotic westernized people and their Allies.
Ni ujinga kutengeneza Deni kingine la nchi kwa tatizo fake lenye milengo ya kuuza chanjo na vitendanishi.
Japo mzungu na mwafrica wapo katika species moja but our genes expression towards diseases May differ.
Tumieni akili zenu Jamani
Wajinga zaidi yako ni wale waliokwisha fariki kwa covid.
Na wewe kubwa lao omba tu uipate.
 
We mjinga mimi nimechanja, tena wakati bado ni hiari.

Msio na upeo wa kufikiri mbali zaidi ya pua zenu mnashindwa kudadavua mambo basic kabisa.
Marekani ya watu milioni 300, karibia milioni 150 tayari wamechanja.
Uingereza ya watu milioni 68, tayari milioni 48 wamechanja.
sitegemei hao watu kufa kesho wala keshokutwa wala miaka 10 ijayo.
Hii ndiyo faida ya watu waliosoma na kuelewa.

Sasa ninyi vilaza wa kutoka vijijini juzi mmeaminishwa kujifukiza, hata sayansi kwenu ni uchawi.
Taabu kwer kwer!
Nareply kulingana na kujifisu kuwa umechanja (siyo hayo matusi) japo wenzako walipiga na picha ila wewe ulisahau.

Najua unafahamu sana ila kuna wakati lazima kujitia upofu ili maisha yaende, mimi nimechanja na uthibitisho naweza kukupa ila tuongee ukweli.

Hizi chanjo siyo za kuaminika hizi ni biashara za watu ndg mtanzania, bahati mbaya unaambiwa hata ukichanja lazima tahadhari ziongezeke hila hauweni unapata tofauti na yule ambaye hajachanja.

Juzi hapa Saidia wametoa adhali yeyote anayetaka kwenda kuhiji Mecca lazima achome Amerikani chanjo hiyo J&J not otherwise, kutokana na hilo mwenye akili si lazima kujadili hiyo mantiki.

So tujihoji na kujipa majibu hata 40.7mil ya wananchi wakipata chanjo nini kitaendelea hapo...?.
 
Back
Top Bottom