jailos mrisho
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 647
- 1,360
Kwa hiyo hata hans pop alikataa chanjo?Sasa inabidi Serikali ichukue uamuzi mgumu juu ya chanjo.
Wafanyakazi Serikalini lazima wachanje, au waachie ngazi kutazama afya zao.
Tutavaa barakoa hadi lini?
Tatizo kubwa ni hao wa Gwajima, wasiotaka kuchanja na ndio kwa kiasi kikubwa wanaeneza Covid katika jamii.
Ni jambo la kusikitisha vifo vya hivi karibuni familia ya Hanspoppe, kuna waliokataa kuchanja, mauti imewatembelea.
Imefika muda tusicheze na hili janga.