Kuchangia ujenzi wa nyumba za wasanii wa bongo

koplo

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
574
152
hivi jamani labda mi ndio sina akili
hawa wasanii wanaoongoza kwa matanuzi na anasa mjini wakitembelea magari ya kifahari leo hii wanaitisha tamasha la
kutaka wanajamii wachange pesa ili wajengewe nyumba. Hili lina mashiko kweli?
tangazo linatolewa kwenye vituo mbalimbali vya TV.
labda mi sijaelewe mwenye uelewa anijuze
ila kumchangia, wema ,jb, ray, mr cheni, mr. chuzi, uwoya,wolper,kingwendu, masanja, joti naona ni upopompo

 
Watutolee umaskini wao hapa.
Watu tunakura raha na Jf.
Naona halina mantini mkuu koplo.
Waache wafu wazike wafu wenzao.
 
Last edited by a moderator:
Au ndo wanaendeleza usanii!? Tuwachangie yatima,walemavu,waathirika wa mabomu,waathirika wa mafuriko na wasanii nao pia!?? wanashirikisha vichwa kweli hao!??? afu tukiwachangia wao what next!?? waje footballers nao tuwachangie, baadae mama ntilie, walimu, wauguzi, wakurugenzi e.t.c. nao tuwachangie!??? hivi wanajiona wao bora sana eeh!?? kwa sababu tulimchangia mwenzao matibabu basi wanaona tutaweza kuwachangia hata nyumba zao!! VICHWA WASIFUGIE NYWELE!
 
Wapuuzi hao,
si wanajifanya wana hela na kumiliki majumba na magari? Michango ya nini?
 
Aiseee baba yangu mi simchangii msanii hata mmoja coz hata waho hawakunichangia nauli ya kutoka rombo kuja dar kumpokea jei kei

ngoja nijinafasi na mbege yangu
 
Wamechelewa, wangejipendekeza wakati msanii mwenzao JK akigombea 2010, he was damned desperate angeweza kuwajengea kituo cha wasanii yatima na kuwawekea ka-runway ka kuwaleta town.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom