Kuchangia damu je wagonjwa wanipata damu bure kama wasemavyo wahusika? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuchangia damu je wagonjwa wanipata damu bure kama wasemavyo wahusika?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shine, Nov 13, 2011.

 1. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #1
  Nov 13, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Wakuu leo nimepata kusikia kituo kimoja cha redio kikitangaza kuchangia damu mnazi mmoja kwaajili ya akiba kwa wagonjwa na wagonjwa huwa wanapewa bure pindi wanapohitaji. Naomba kujua kama kuna mtu ashawahi uguwa au kuuguliwa na ndugu na kupewa damu bure hospitalini kwani nimeona sula la mtu kupewa bure ni propaganda na halijanigusa kwenda kuchangia, nijuzeni kama lina ukweli nifanye kwenda kuchangia

  Nawakilisha
   
Loading...