Elections 2010 kuchamba kwingi....!!!

ferrari

Member
Oct 29, 2010
10
0
Niwazi kuwa whenga hawakukosea kusema kuwa KUCHAMBA KWINGI MWISHO UTASHIKA HAJA KUBWA. maana yangu hapa nikuwa kura zishapigwa na matokeo ndo kama tunvyosikia live n exclusive kutoka result center chamsingi hapa sio kulumbana Dr. Nitakuheshimu sana kama utaacha agument na mabachelor holder kwani sasa utatia aibu na watz wepesi sana wa kuchoka singo zinazo hit sana, kwa ushauri elekezeni nguvu sasa 2015 na muhakikishe kuwa chanzo chenu cha habari kipo safe kwani wakimshtukia itakuwa imedoda. tumekusikia DR. tunaomba sasa mistari mingine ilituingie sdio 2015. goodluck on your days out of the MJENGO.:croc:
 
Back
Top Bottom