Ipi ni njia nzuri: Kujitawaza kwa kutumia Maji au Toilet Paper/tissue paper?

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Kwa wote ambao nitakuwa nimewakwaza na hii mada naomba wanisamehe,

Katika kuelimishana tunahitaji kujikaza ili tupate elimu. Kuna baadhi ya watu wanapokwenda haja kubwa wanatumia toilet paper na wengine maji tu

Sasa nilikuwa napenda kuuliza kwa faida ya wote, kati ya njia hizi, ipi inakuweka katika hali ya usafi zaidi? Au njia ipi kati ya hizi ni bora?
 
Kwa wote ambao nitakuwa nimewakwaza na hii mada naomba wanisamehe, Katika kuelimishana tunahitaji kujikaza ili tupate elimu, Kuna baadhi ya watu wanapokwenda haja kubwa wanatumia toilet paper na wengine maji tu, Sasa nilikuwa napenda kuuliza kwa faida ya wote, kati ya njia hizi, ipi inakuweka katika hali ya usafi zaidi?, Au njia ipi kati ya hizi ni bora?
wewe unaitwa bwabwa,. mi sidhani kama **** hiyo maada itakusaidia, labda ungeleta mada ya namna gani usaidiwe kuondokana na matendo yako, ambayo huyafanya mwanamke kwa mwanaume yaani mumewe, ukayafanye wewe kwa mwanaume mwenzio
 
kwakweli binafsi ni vyema hata ukitumia TP kisha utumie maji!

Yaani watu wanaotumia TP peke yake huwa wanatoa harufu mbaya ya 'haja' nimeshawanusa humu maofisini!

Tumieni maji wakuu!
 
kaka hapo maji tuu ndio muhimu angalia toilet paper za wachina noma jamaa mmoja alitumia tgo ikavimba take care water is natural.
Conquest
 
wewe unaitwa bwabwa,. mi sidhani kama **** hiyo maada itakusaidia, labda ungeleta mada ya namna gani usaidiwe kuondokana na matendo yako, ambayo huyafanya mwanamke kwa mwanaume yaani mumewe, ukayafanye wewe kwa mwanaume mwenzio
Ndugu yangu ukiendelea na 'majibu' kama haya BAN itakutafuna! Bwabwa ni ID yake! HAimaanishi kwamba ndiyo tabia yake! Kuwa mwangalifu!
 
kaka hapo maji tuu ndio muhimu angalia toilet paper za wachina noma jamaa mmoja alitumia tgo ikavimba take care water is natural.
Conquest
hehehe, wachina mbona watamaliza watu!
 
hizi umezitaja ni za mjini - za vijijini je?

kuchamba kwa kusota kwenye udongo
kuchamba kutumia majani ya miti yasiyokauka na mapana
kuchamba kutumia mgongo wa fimbo ndogo ya duara - hapa sijui mtanielewa - mfano mpini wa jembe then unauweka sawa then unasota nao kujisafisha

hizi nazo sijumlisheni na hizo za kwenu za mjini.
 
its true tena wengine huwaga hafanyi lolote kati ya hayo yote wakimega ni kuondoka mbele kwa mbele wanasemaga mbona mbuzi au ng'ombe hawachambagi na wanaishi.
Conquest
 
Kwa ujumla maji ndio njia pekee ya kukufanya kubaki msafi daima. Watu wengi wanaotumia toilet paper mara nyingi huona kinyaa kujisafisha kwa kutumia maji. Kinyaa hiki kimetokana na mazoea lakini wakielimishwa umuhimu wa kuhakikisha kuwa ile sehemu haibaki na uvundo kwa kutumia maji watabadirika. Kwa wenzangu waliokulia ukanda wa pwani na hasa mahali ambapo ustaarabu wa mashariki ya kati ulifika wao hawaoni shida kutumia maji. Kwa ambao ustaarabu wa magharibi ulipita kwao toilet paper ndo ya muhimu zaidi pamoja na kutosafisha vizuri kule mahali. Hivyo ndugu maji ni zaidi!
 
wewe unaitwa bwabwa,. mi sidhani kama **** hiyo maada itakusaidia, labda ungeleta mada ya namna gani usaidiwe kuondokana na matendo yako, ambayo huyafanya mwanamke kwa mwanaume yaani mumewe, ukayafanye wewe kwa mwanaume mwenzio
Una uhakika kuwa huyu Gay? au una hukumu kitabu kwa cover yake.
 
Ndugu yangu ukiendelea na 'majibu' kama haya BAN itakutafuna! Bwabwa ni ID yake! HAimaanishi kwamba ndiyo tabia yake! Kuwa mwangalifu!
Huyu jamaa namuona tangu asubuhi amekaa kishari zaidi!!
hata akila ban hana jipya!
 
wewe unaitwa bwabwa,. mi sidhani kama **** hiyo maada itakusaidia, labda ungeleta mada ya namna gani usaidiwe kuondokana na matendo yako, ambayo huyafanya mwanamke kwa mwanaume yaani mumewe, ukayafanye wewe kwa mwanaume mwenzio

Watch out ndugu yangu!!
 
Ndugu yangu ukiendelea na 'majibu' kama haya BAN itakutafuna! Bwabwa ni ID yake! HAimaanishi kwamba ndiyo tabia yake! Kuwa mwangalifu!
heee heee ban eeee? usiwaogope wale wauwao mwili wasiweze kuiangamiza roho.....bali mwogope yule awezaye kuua mwili na roho pia
 
kaka hapo maji tuu ndio muhimu angalia toilet paper za wachina noma jamaa mmoja alitumia tgo ikavimba take care water is natural.
Conquest
maji yapi? haya haya bongo au yapi? haya yanayouzwa kwenye madumu na vijana waliojiajiri? haya ya Dawasco?
Haya ni maji au tope? yanausafi gani?

Pili: ukienda kwenye public toilet unanawa aje? kwa makopo usoyojua usafi wake? maji usiyojua yametoka wapi? kama upo uswazi, how do you do that, I mean are you guys serious? sabuni ya kunawa mikono unaipata wapi? hata kwenye ofisi za serikali hali ya vyoo ni mbaya sana.....
 
heee heee ban eeee? usiwaogope wale wauwao mwili wasiweze kuiangamiza roho.....bali mwogope yule awezaye kuua mwili na roho pia

Schizophrenia is a psychological disorder or mental illness that involves auditory hallucinations, severely disturbed moods, thoughts, and behaviors.
Researchers aren't certain exactly what causes schizophrenia. Many people with schizophrenia have lost touch with reality and can't distinguish fact from fantasy.
The progression of schizophrenia is different for everyone: some people with schizophrenia experience only one psychotic episode and go on to live a normal life. Others never function independently and always struggle with auditory or visual hallucinations. Still others with schizophrenia experience occasional episodes of psychotic irregularity during their otherwise normal lives.
People with schizophrenia believe their hallucinations are real – and that the rest of the world is bizarre. This makes it difficult to communicate with them, or even attempt to help.
 
Umeshinda!
Biblia inasema ya Kaisari mwachie Kaisari na ya Mungu mwachie Mungu!
usijari @ pepe just utani tu, ila sikujua kama kuna watu wanakuza mambo kiasi hicho, harafu mbaya zaidi huyo bwabwa mwenyewe yuko kimya maana anjua whats going on between,
 
Back
Top Bottom