Kuchamba kwa karatasi ni sawa, lakini kuchamba kwa maji ni sawa zaidi

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
8,099
2,000
Kuchamba kwa karatasi ni rahisi sana kwakuwa ni rahisi kutembea kwa urahisi na karatasi/toilet paper au gazeti hata ukiwa safarini, picnic, uwindaji, nk. Makaratasi yanapatika TU lakini maji lazima yawepo mengi ya kuchambia na matumizi mengine.

Hata hivyo faida ya kuchamba na maji ni kubwa kuliko kuchamba kwa karatasi. Anayechamba na karatasi mara zote hawezi kuondosha kwa kiasi kikubwa uchafu na harufu mbaya kwenye njia ya haha kubwa kuliko anayechamba kwa maji.

Anayechamba kwa makaratasi ana uwezokano mkubwa wa kujiambikisaha magonjwa ya fecal-oral(kinyesi) kuliko kuliko maji kwakuwa aliyechamba kwa karatasi akijikitana matakono anaweza kukutana na kiasi kikubwa Cha wadudu kwenye mikono.

Anayechamba kwa makaratasi aatahitaji matayarisho makubwa kama atapata mchepuko kuliko anayetumia majisí
 

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
8,099
2,000
Tunaochambia vigunzi vya mahindi na kutelezea mchanga tuchangie uzi?
Kuchamba kwa karatasi, gunzi na kusota chini kunaongeza uwezekano wa kupata Cancer ya rectum (kipande Cha chini Cha utumbo mpana) kutokana na msuguano (friction) ya mara kwa mara kuliko maji. Namna karatasi inavyokuwa laini ndiyo msuguano unavyopungua. Tumia basi karatasi lakini kwa kazi hiyo, sio magazeti.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom