J jjohn New Member Nov 1, 2010 2 0 Nov 1, 2010 #1 Tarime jamani hali ni mbaya sana. Chadema imeshinda lakini kuna mikakati mikubwa ya kuchakachua matokee na kumeibuka vurugu kubwa sana.
Tarime jamani hali ni mbaya sana. Chadema imeshinda lakini kuna mikakati mikubwa ya kuchakachua matokee na kumeibuka vurugu kubwa sana.
Z Zion Train JF-Expert Member Jun 5, 2008 501 78 Nov 1, 2010 #3 kuchakachua tarime ni sawa na kuchakachuwa pemba, wameshindwa kutawala sasa wanataka kuchonganisha watu
kuchakachua tarime ni sawa na kuchakachuwa pemba, wameshindwa kutawala sasa wanataka kuchonganisha watu
doup JF-Expert Member Feb 26, 2009 2,344 2,150 Nov 1, 2010 #5 ccm imeshinda huko tayari source ITV, wanachadema nasikia wamezibitiwa na police wa ccm. ccm wanalindwa washangilie
ccm imeshinda huko tayari source ITV, wanachadema nasikia wamezibitiwa na police wa ccm. ccm wanalindwa washangilie