Kuchakachua modem ya voda

teac kapex

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
470
136
Wadau naomba mwenye ujuzi wa kuchakachua modem ya voda ili isome line zote aweke hapa mautundu
 
Wadau naomba mwenye ujuzi wa kuchakachua modem ya voda ili isome line zote aweke hapa mautundu
Maelezo hayajajitolesheleza kwa sababu si watu wote wanatumia na kujijua modem ya voda.

Kwa hiyo ungetaja kampuni iliyotengeneza modem (huawei, zte etc) na model number.

Kwa ukitaja hayo inakuwa inasaidia kufahamu tools zinazoweza tumika ku-unlock.
 
Aina yenywe ni hii
IMG_20190326_054938_985.jpeg

Sent from my TECNO L9 Plus using Tapatalk
 
Kwani kwa sasa ni modem gani nzuri iliyo na speed na isiyochagua line?

Sent from my TECNO L9 Plus using Tapatalk
 
njoo inbox m nakusaidia bure kabisa sihitaji feza yako ni secunde chache tu iyo inafunguka!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom