Uchaguzi 2020 Kuchaguliwa kwa Tundu Lissu kupeperusha bendera ya CHADEMA ni kukiua chama

Gerald, hivi umeshindwa kweli kuona jaribio la jana la kutaka kulipotezea tukio la Tundu Lissu kuchaguliwa kuwa mpeperusha bendera wa CDM, na bado inashindikana. Licha ya vyombo vingi vya habari kukwepa kwa makusudi kuupa Mkutano Mkuu uliomchagua, na hata pia matokeo ktk uchaguzi yalionyesha kutopewa umuhimu wake.

Je! Iliweza kuona "reaction" ya watu mitaani? Watu wengi walipata matokeo kupitia mitandao ya kijamii, huku wakionyesha kufurahishwa na matokeo hayo waliyokuwa wakiyasubiri kwa hamu kubwa.
Kampeni za chama zimeisha na tayari chama kimempata mgombea ambaye ni Tundu Lissu. Tunampeleka kwenye mkutano mkuu na naamini atapata baraka za mkutano mkuu.

KAZI ZINAZO FUATA NI KUMUUZA MGOMBEA NCHI NZIMA

Mgombea wetu amaleta msisimko mkubwa kwa wanachama wa Chadema na hasa wajumbe. Hali hii kwa wanachama inaeleweka Lissu ni shujaa lakini kwa wananchi wa Tanzania bado yapo maswali wanampokea kama shujaa ama kama msaliti?

Wakuu kila mtu anaweza kutoa maoni yake na akawa sawasawa kwa muono wake, lakini siasa ina takiwa kuwa na uchambuzi ambao hauna macho ila unajua ukweli tuu, na kwa kufanya hivi ndio chama kitabaki salama.

SWALI: Je, Tundu Antipas Lissu ndio Chadema, yaani Lissu ndio chama?

JIBU : Hapana ila Lissu ni mmoja ya wanachama wanaogombea kupeperusha Bendera ya Urais wa Tanzania kupitia Chadema.

SWALI: Je, Lissu akishindwa katika Uchaguzi mkuu kupata Urais wa Tanzania kwa hiyo Chama cha Chadema kife?

JIBU: Hapana cham lazima kiendelee na ndio ilivyo vyama vingi Duniani.

SWALI: Katika kila kinyag'anyiro cha Uongozi wote wanaoshindwa wanaondoka kwenye chama?

JIBU: Hapana ila uchaguzi wowote ule lazima utengeneze makundi ili kutengeneza ngome ya Ushindi.

SWALI: Je, uchaguzi huu unaweza kuwa tofauti na chauzi zingine zilizo pita na hata mifano ya nchi nyingine?

JIBU: Hapana ila uchaguzi wowote ule Mkali huacha makovu makubwa ama ndani ya chama au kati ya chama na vyama washindani.

SWALI: Tunayo mifano ya chaguzi zilizo pita zili acha makovu makubwa kwenye chama chetu ili iwe kama mfano?

JIBU: Chaguzi za Ubunge Jimbo la Kinindoni tulipo rudia Baada ya Mh. Mtulia kuhama chama.

SWALI: Madhila chama kilicho yapata jee yamepona ? na chama kipo imara sana sasa hivi kuliko kabla ya Uchaguzi?

JIBU: Hapana chama kilipigika

1) Kwa Wabunge kupoteza muda mwingi Mahakamani.
2) Chama kilipoteza pesa nyingi kwa kukodisha mawakili
3) Wabunge kutumia muda mwingi nje ya bunge na kupoteza posho.
4) Wabunge na viongozi kulala gerezani (mahabusu)kwa mara kwa mara
5) Kulipa faini kubwa baada ya hukumu na hatuna hakika sana ni Wabunge na viongozi, Chama au wanachama ndio walio lipa hiyo faini?

Sasa hivi Viongozi wakitaka kuwa wakweli watakuambia Chadema kimepigika na kuchakaa na nguvu ya kutosha ya chama imetawanyika.

SWALI: Chama kinaweza kuvumilia tena kwa miaka 5 kipigo kilicho kipata kwa miaka mi 5 iliyo pita?

JIBU: Chama hakina uwezo huo kwa leo, kwa hiyo tunakiwa kujitibu majeraha kwa hii miaka mitano ili tujenge uwezo na nguvu ya kutosha.

TUMPE BENDERA LISSU ILI TUPOTEZE CHAMA, AU TUMPE NYALANDU ILI TUJITIBU MAJERAHA NA TUBAKI NA CHAMA CHETU?

CCM Conservatives wanataka Lissu ashinde ili mkulu akifute chama kabisa. Kwa sababu katika vitu Mkulu hapendi ni kadharauliwa.

Lissu ameachiwa sio kwa sababu ya huruma, HAPANA: ameachiwa ili afanye kampeni yake ndani ya Chadema atimize CCM kulia lia wanavyotaka. Nina mengi lakini kwa leo I rest my case.
Mkuu, natambua ulichokiandika hata wewe mwenyewe hukiamini, pengine ni katika kutaka kuonekana na watu fulani. Hivi kwa akili ya kawaida tu huwezi kuona licha ya jitihada zote za kuwajaza watu hofu na hata kutaka kuzuia shamrashamra za kumlaki Tundu Lissu aliporejea hapa nchini, na pia licha ya taifa kuwa ktk kipindi cha maombolezo ya kitaifa ya kifo cha Mzee Mkapa, bado watu wengi pamoja na kuwa na hofu ya kukabiliana na vyombo vya dola, bado walipata ujasiri wa kumlaki na kumpokea mpendwa wao.
 
Alie soma naomba summary, lissu, zitto, mbowe siasa ndo maisha yao ndo kazi zao hawana kazi nyingine mjini
 
Gerald, hivi umeshindwa kweli kuona jaribio la jana la kutaka kulipotezea tukio la Tundu Lissu kuchaguliwa kuwa mpeperusha bendera wa CDM, na bado inashindikana. Licha ya vyombo vingi vya habari kukwepa kwa makusudi kuupa Mkutano Mkuu uliomchagua, na hata pia matokeo ktk uchaguzi yalionyesha kutopewa umuhimu wake.

Je! Iliweza kuona "reaction" ya watu mitaani? Watu wengi walipata matokeo kupitia mitandao ya kijamii, huku wakionyesha kufurahishwa na matokeo hayo waliyokuwa wakiyasubiri kwa hamu kubwa.Mkuu, natambua ulichokiandika hata wewe mwenyewe hukiamini, pengine ni katika kutaka kuonekana na watu fulani. Hivi kwa akili ya kawaida tu huwezi kuona licha ya jitihada zote za kuwajaza watu hofu na hata kutaka kuzuia shamrashamra za kumlaki Tundu Lissu aliporejea hapa nchini, na pia licha ya taifa kuwa ktk kipindi cha maombolezo ya kitaifa ya kifo cha Mzee Mkapa, bado watu wengi pamoja na kuwa na hofu ya kukabiliana na vyombo vya dola, bado walipata ujasiri wa kumlaki na kumpokea mpendwa wao.

Ujenzi wa Chama una madaraja mawili, 1) kukijenga chama ama kimeanzishwa au baada ya kupata dhoruba. Baada ya uchaguzi kama tutashindwa uchaguzi huu, Majibu ya mapigo kwetu yatapigwa kwa kipimo ambacho hatutoweza kuhimili tena kama Chama.

Wasi wasi ni kuwa, kuna wanao iangalia Chadema kwa jicho la karibu, lakini tunalazimika kuangalia na jicho la kesho ili tuchukue tahadhali sambamba na mahitaji ya kisiasa ya kesho ili kesho yetu isije ikaleta majuto ndani yake ambayo marekebisho yakawa taabu..
 
CDM hakuna ajenda ya kuwaambia wananchi ila CCM wanazo nyingi. Mfano kwa nn waliamua kuwapora korosho Mtwara, Kwa nn hawajaajiri, kwa nn madaraja ya watumishi kupandishwa hakuna, kwa nn TASAF wameua, Tilioni zilipo. Wasiojulikana ni watu gani, Bajeti ya kilimo ipo juu,Masoko kibao kama vile ya korosho na mbaazi n.k. Kwa sera hizi CCM hawana mpinzani na mm Naunga mkono.
Hizo siyo agenda, kwa sababu, TASAF zipo shughuli zinaendelea, watumishi wanapanda madaraja, korosho wamelipwa baada ya kujua hila za wapiga dili, ajira zipo na isitoshe kwa awamu ya tano ya viwand sekta binafsi imeajiri kwa wingi. Meli mpya ni ajira, ndege zimetengeneza ajira, tren dsm moshi, tanga moshi ni ajira. Think big
 
Kampeni za chama zimeisha na tayari chama kimempata mgombea ambaye ni Tundu Lissu. Tunampeleka kwenye mkutano mkuu na naamini atapata baraka za mkutano mkuu.

KAZI ZINAZO FUATA NI KUMUUZA MGOMBEA NCHI NZIMA

Mgombea wetu amaleta msisimko mkubwa kwa wanachama wa Chadema na hasa wajumbe. Hali hii kwa wanachama inaeleweka Lissu ni shujaa lakini kwa wananchi wa Tanzania bado yapo maswali wanampokea kama shujaa ama kama msaliti?

Wakuu kila mtu anaweza kutoa maoni yake na akawa sawasawa kwa muono wake, lakini siasa ina takiwa kuwa na uchambuzi ambao hauna macho ila unajua ukweli tuu, na kwa kufanya hivi ndio chama kitabaki salama.

SWALI: Je, Tundu Antipas Lissu ndio Chadema, yaani Lissu ndio chama?

JIBU : Hapana ila Lissu ni mmoja ya wanachama wanaogombea kupeperusha Bendera ya Urais wa Tanzania kupitia Chadema.

SWALI: Je, Lissu akishindwa katika Uchaguzi mkuu kupata Urais wa Tanzania kwa hiyo Chama cha Chadema kife?

JIBU: Hapana cham lazima kiendelee na ndio ilivyo vyama vingi Duniani.

SWALI: Katika kila kinyag'anyiro cha Uongozi wote wanaoshindwa wanaondoka kwenye chama?

JIBU: Hapana ila uchaguzi wowote ule lazima utengeneze makundi ili kutengeneza ngome ya Ushindi.

SWALI: Je, uchaguzi huu unaweza kuwa tofauti na chauzi zingine zilizo pita na hata mifano ya nchi nyingine?

JIBU: Hapana ila uchaguzi wowote ule Mkali huacha makovu makubwa ama ndani ya chama au kati ya chama na vyama washindani.

SWALI: Tunayo mifano ya chaguzi zilizo pita zili acha makovu makubwa kwenye chama chetu ili iwe kama mfano?

JIBU: Chaguzi za Ubunge Jimbo la Kinindoni tulipo rudia Baada ya Mh. Mtulia kuhama chama.

SWALI: Madhila chama kilicho yapata jee yamepona ? na chama kipo imara sana sasa hivi kuliko kabla ya Uchaguzi?

JIBU: Hapana chama kilipigika

1) Kwa Wabunge kupoteza muda mwingi Mahakamani.
2) Chama kilipoteza pesa nyingi kwa kukodisha mawakili
3) Wabunge kutumia muda mwingi nje ya bunge na kupoteza posho.
4) Wabunge na viongozi kulala gerezani (mahabusu)kwa mara kwa mara
5) Kulipa faini kubwa baada ya hukumu na hatuna hakika sana ni Wabunge na viongozi, Chama au wanachama ndio walio lipa hiyo faini?

Sasa hivi Viongozi wakitaka kuwa wakweli watakuambia Chadema kimepigika na kuchakaa na nguvu ya kutosha ya chama imetawanyika.

SWALI: Chama kinaweza kuvumilia tena kwa miaka 5 kipigo kilicho kipata kwa miaka mi 5 iliyo pita?

JIBU: Chama hakina uwezo huo kwa leo, kwa hiyo tunakiwa kujitibu majeraha kwa hii miaka mitano ili tujenge uwezo na nguvu ya kutosha.

TUMPE BENDERA LISSU ILI TUPOTEZE CHAMA, AU TUMPE NYALANDU ILI TUJITIBU MAJERAHA NA TUBAKI NA CHAMA CHETU?

CCM Conservatives wanataka Lissu ashinde ili mkulu akifute chama kabisa. Kwa sababu katika vitu Mkulu hapendi ni kadharauliwa.

Lissu ameachiwa sio kwa sababu ya huruma, HAPANA: ameachiwa ili afanye kampeni yake ndani ya Chadema atimize CCM kulia lia wanavyotaka. Nina mengi lakini kwa leo I rest my case.
acha habari za kuungaunga. unabore.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom