mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 7,658
- 9,758
sawa uko sahihi ingawa sijajua kama uliifuatilia kwa mapana hiyo uct na sijajua kama ulipata washauri au ulijiongeza tu mwenyewe?
Na kingine tena fani ya Ict na law inahitaji kwenu kuwe na pesa za kutosha ukishamaliza degree kuna kozi zingine za kusoma ambazo zinacost milioni kadhaa ili uweze kuajirika,hili unalifahamu?
Kama kwenu ni matajiri hakuna tatizo ni fani nzuri lakini kama ni mtoto wa maskini haikufai

sawa mkuu ila now nataka soma kitu kile nakipenda mana iyo bach ya metrology naweza soma hata baadae tu ..... ila 1st priority yangu ni IS