Kuchagua kazi hali huna kazi

Pumigogolo

Member
Oct 29, 2014
49
42
Kuna watu wana tabia ya kuchagua kazi wakati hawana kazi, kisa wanataka kazi walizosomea tu, au wanazodai zinalipa, wakati wanaweza kufanya nyingine, wananikera sana. Tena utakuta wakati mwingine kazi wanayoidharau ndo anayofanya mtu wanayekaa ndani ya nyumba yake, kulalia kitanda chake na kula msosi wake. Na wamekaa hapo miaka miwili mitatu wanangoja kazi walizosomea au wanazodai zinalipa. Tubadilike! anza iliyopo endelea kutafuta hiyo unayopenda, uliyosomea au unayodai inalipa!
 
ugumu wa maisha ni kipimo cha akili mbanie usimpe mkate na soseji asubuhi mpe uji wa chumvi ,mchana dona dagaa na usiku anakunywa maji analala hapo lazima akili irudi aanze kujishughulisha
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom